Acha ubaya hauna maana,kama mtoto hajafa we endelea na maisha yako.Hayo yote hayakusaidii kitu,kama unaona utapata faida mfanyie ubaya.Hapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Hapa shetani kakaa pembeni na Pepsi big anataka kujifunza kitu kutoka kataviHapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
No nilikaa kimya Kama mjinga,wamefanya yao,wanataka hadi kumuua mwanangu,kwahiyo nitulie tu? hapana,nilipomkuta wakati namnunulia boksa namrudishašAcha ubaya hauna maana,kama mtoto hajafa we endelea na maisha yako.Hayo yote hayakusaidii kitu,kama unaona utapata faida mfanyie ubaya.
No Sina mpango wa kuua,namrudisha nilipomkuta,akiwa Hana hata miaKwa hiyo una taka kumuua??
MAANA UKOO WAKE MZIMA KUJI KUSANYA NI MSIBANI TU.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Hahahah unafanya nicheke wakati Nina huzuniKumbe haka ka stori kana utamu Fulani.
Funguka mpwa .
Dada nahisi ana matatizo ya kisaikolojia maana naona mpk amefikia hatua ya kutaka kuua ambayo ni hatua mbaya sana. Tatizo lake ameshindwa kumtoa moyoni huyo mzazi mwenzake na kwa magumu anayopitia wakati mwenzake ana maisha mazuri na ametulia na ndoa yake kinamuuma sana.Kwa hiyo una taka kumuua??
MAANA UKOO WAKE MZIMA KUJI KUSANYA NI MSIBANI TU.
Sent from my SM-J700H using JamiiForums mobile app
Imagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusikašKumbe haka ka stori kana utamu Fulani.
Funguka mpwa .
Una roho ya ajabu sana we mdadaHapana lazima nilipe kisasi kwa heshima ya mwanangu, huyu hakuja kwa bahati mbaya,alipangwa aje Kama mzaliwa wa kwanza kwa babaye,mauchafu aliyomfanyia huyo mama wa kambo wakati alimkuta mtoto,nikikusimulia yanatisha,kwahiyo narudi katavi kuongea na wazee.
Hapana Sina mpango wa kuuašna hayuko vizuri hivo,ntamrudisha nilikomkuta,ambapo nilikuwa namnunulia boxer,manake uwezo alikuwa hana.hayo ya saikolojia unajua wewe msomišDada nahisi ana matatizo ya kisaikolojia maana naona mpk amefikia hatua ya kutaka kuua ambayo ni hatua mbaya sana. Tatizo lake ameshindwa kumtoa moyoni huyo mzazi mwenzake na kwa magumu anayopitia wakati mwenzake ana maisha mazuri na ametulia na ndoa yake kinamuuma sana.
Naona amefikia hatua hata ya kutomwogopa Mungu na kutaka kumtoa uhai huyo ex wake.
Pia anataka kushiriki kwenye uchawi, kitu kibaya sana. Vipi ukikuta na huyo mzazi mwenzie yuko vizuri kwenye hayo mambo si ndio itakuwa vita vya kutoana roho
Hii uwezo anao Mungu tu.No Sina mpango wa kuua,namrudisha nilipomkuta,akiwa Hana hata mia
Learn to forget and move on with your life. Unasikia uchungu kwa material things? Vipi watu wanaosomesha mtu na akimaliza anamwagwa na maisha yanaendelea? Jamaa ameamua kukutosa wewe na mwanae, hapo kuna maawili mshitaki au lah achana nae assume kama amekufaImagine umekutana na mtu Hana mbele Wala nyuma,umemkubali jinsi alivyo,wakati huo una ajira yako,una kagari,unamwezesha inapobidi,unampa mbinu za kupambana,unakomaa naye ilhal Hana kitu,mnazaa,mnashindwana,unaamua kumove on,na mwanao,yanatokea ya kutokea kazini ,unamface kwasababu Hali tete ili asaidie mwanae kielimu,anakupiga mapicha picha akisaidiana na kahaba lililomkuta tayari ushamweka poa,wanaenda mbali kutaka kumdhuru mwanao,halafu niendelee kukaa kimya Kama mjinga?hapana katavi inahusikaš
Haya ngoja tuonešHii uwezo anao Mungu tu.
Hapana katavi inahusika,lyamba la mfipaLearn to forget and move on with your life. Unasikia uchungu kwa material things? Vipi watu wanaosomesha mtu na akimaliza anamwagwa na maisha yanaendelea? Jamaa ameamua kukutosa wewe na mwanae, hapo kuna maawili mshitaki au lah achana nae assume kama amekufa
Ujumbe wangu kwako waache hao jamaa (mzazi mwenzio na mkewe) waendelee na maisha yao. Wewe pambana na hali yako na mwanao. Unajikosesha amani bure wenzako wana-enjoy maisha yao. Huyo mtu hukupangiwa awe wako usilazimisheHapana Sina mpango wa kuuašna hayuko vizuri hivo,ntamrudisha nilikomkuta,ambapo nilikuwa namnunulia boxer,manake uwezo alikuwa hana.hayo ya saikolojia unajua wewe msomiš
Unampenda bado na unaumia sana. Unalo hilo mpk unaingia kaburiniHapana katavi inahusika,lyamba la mfipa
Ndo wewe Niniš itajulikana tuUna roho ya ajabu sana we mdada
Ndo wewe Niniš itajulikana tuUna roho ya ajabu sana we mdada
Hapana hii nafanya kwa heshma ya mwanangu,mzaliwa wa kwanza aliyemuona si lolote , wakati nyota nimempa mimi.Unampenda bado na unaumia sana. Unalo hilo mpk unaingia kaburini
Siwezi kuzaa nje ya ndoa yangu na siwezi kutelekeza damu yangu na sitishiwi na mtu aliyepoteza mwelekeoNdo wewe Niniš itajulikana tu