Historia ya maisha yangu

Mahusiano yanataka mke awe mnyenyekevu, 50/50 ni mpango wa Ibilishi yule shetani.
Upo kwenye ndoa wewe?
Wee...kumbe ni mke tu anatakiwa awe mnyenyekevu?? Ndo naiskia hapa ! Hapana siko ndoani ndo natafuta humu
 
Hapana katavi inahusika,lyamba la mfipa
Asee hata Mimi sikuachi mkuu ..inaonekana jamaa hakuwa na mpango na wewe ..hivyo fanya hima ufike kwa wazee wampige ganzi awe ndondocha Ila madhara lazima take na kwako pia maana ukijulikana umemtengeneza na wewe watakufanyia hivyo.

Sema nini..imeandikwa kisasi ni juu yangu, Kama anaikataa damu yake basi Mungu atamlipa, piga moyo konde songa mbele ..yaliyopita achananayo angalia watoto wako.

Ila hakikisha ufipa unafika[emoji1][emoji1]
 
Pamoja na usomi wako ila unakaujeuri flani na hasira za mwendo Kasi, ni bahati sana mwanaume anaejielewa kudumu na wewe kwenye mahusiano otherwise hayo mahusiano yawe yanamuoffer vitu vingi huyo mwanaume.
 
Wanawake wakitendwa inakuwa habari sana, mbona sisi yamekuw maisha ya kawaida tu kutendwa
 
Hivi mapenzi yakiisha kuna haja ya kulazimishana adi Mrogane?Jifunzeni kuachwa na kuacha bila visasi mbona simple tu.Mnakwama wapi wanawake wenzangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…