kwa taarifa yako nina knowledge kubwa sana kuhusu habari zinazohusu vyama vya siri (secret societies). knowledge niliyonayo, wewe hata robo huifikii.
nilianza kujielimisha kwa kusoma vitabu mbalimbali miaka dahali iliyopita, wakati huo wewe ukiwa bado unanyonya.
kwa hapa jamii intelligence, wanaoijua ID yangu ya zamani, wanatambua mchango wangu.
siku hizi tumekuwa matured, akili zetu zimekuwa occupied na masuala mbalimbali ya kifamilia na jamii inayotuzunguka.
tumewaachieni nyinyi vijana wa kizazi cha tiktok na instagram mdanganyane.