Historia ya Lucifer

Historia ya Lucifer

Aiseee nilikua napitia maandiko ya kale ya ANNUNAKI nikayasoma haya yote uliyoandika hapa hasa chanzo Cha wale miungu walioabudiwa kale na Assyrian Sumerian na Babylon la kale,chanzo Cha miungu mingi kutokea Kwa jamii hizo ni pale Hao viumbe kuja duniani Kama Allien na kuwafundisha ujuzi watu na kufanya cloning project ya baadhi ya viumbe wa Dunia yetu,
Hivi vitu vimekaa Kama mahadith ya kufikirika Sana ila Kuna muda nachimba Sana nikaja gundua hata dini hizi za Abrahamic chanzo chake ni hayo masimulizi maana ukiunganisha dot ni kwamba hata jamaa wakuitwa baba wa imani Kwa watu flani alitoka kwenye jamii za waashuru wa kale waliobahatika kukutana na viumbe Hao na wakapewa ujuzi Toka kale,
Kingine kinachonifanya niunganishe dot ni pale Abraham anakutana na kiumbe wa ajabu wa kuitwa Merchizedeck aliyekua mtawala wa Salem na kumpa Siri na ujuzi jamaa maana ukiangalia Kwa jicho la tatu huyu mwamba ni kama alikua kiumbe mtu Allien aliyeanzisha makazi hapa Duniani!
Kitu kingine ambacho watu wengi hawakifikirii Kwa kina ni juu ya yule mwamba wa kuitwa
Nabii Elia mtishibi aliyekua na miujiza mingi Hadi ya kushusha moto Ile nilichimba sehemu ilikua ni vita kati yake na watu waliokua wanawahusudu Allien wengine tofauti na jamii yake kutoka Kwa mkuu wake El
Hata hivi masimulizi ya kukndoka na gari la farasi na moto kwenda mbinguni ni umbumbumbu wa masimulizi na uelewa wa mambo Kwani inadaiwa jamaa aliondoka na space shuttle kurudi kwenye sayari Yao akimkimbia Allien mwenye umbo la mwanamke wa wakuitwa Jezebel aliyejifanya pisi Kali Kwa kumlaghai mfalme mmoja wa Uyahudi,maana jamaa nae alikua na deals nae ila jezebel akamkazia na kumchimba mikwara akae mbali,

NB kumbuka Hawa viumbe Allien wanaweza kujigeuza kivyovyote kutokana na aina zao Kama wengi wanavyopenda waita majini!

Haya masimulizi Yana utata Sana ukija unga dot utagundua hata hizi dini ni geresha tu Kuna viumbe wameamua kutengeneza script kwenye maandiko yakuitwa matakatifu wakijinasibu ni miungu wa kweli kumbe wote Wana ajenda Moja tu kufanya wakazi halisi wa hii Dunia kuendelea kua watumwa wa kifikra huko wao wakifanya project zao bila kikwazo

Amka mtu mweusi!
 
Kwanza unakufuru kwa kusema vitabu vya dini vilitudanganya hapo hapo unazungumzia mbinguni. Wejamaa ninamashaka nawe Kama yule mwenzio mr dhibitisha aka kilanga.
 
jaribu kutumia akili za kawaida hapo ametumia mfano wa kueleweka ila wengi mjue anamaanisha nini kutaja mbinguni na Mungu kusikupagawishe hiyo ni mifano tu mkuu,hata hiyo dini unayoabudu chanzo chake ni ANUNNAK writings huyo mwanzilishi wa imani yenu yaani Abraham alikua ni wakutoka Ashuru au unaweza ita Assyrian,Sumerian na Babylon sehemu ambayo walipata kushuka viumbe kutoka huko anga za juu mnakokuita mbinguni na hao viumbe mnawaita Malaika na kuanzisha ustaarabu duniani,
Haya mambo Kwa watu msiopenda kujisomea na mmefungwa fahamu mnaona kufuru ila ni ujinga wenu kutotafuta maarifa
Msione humu watu Kama sisi hatuna dini Wala hatumfuati Mungu wa Wayahudi Kuna mengi nyuma ya pazia Yana ukakasi na uwongo mkubwa!
Wake up black race!
 
Kumbuka umesoma na sie tumesoma tofauti iko wapi? Wewe umesema ibra Mimi najua adamu ni udongo na uhai. Huyo ibra ni nyama nyamani mwa wazazi wake. Vitabu viko vingi hasa India kipo kitabu kinacho Seema Yesu alioa na alifanikiwa kupata watoto tisa je niamini kua ni kweli Yesu alioa? Uzwazwa huo, kajiunge tu usione haya wenzio wanapata pesa na uchawi wenu.
 
Aiseee nilikua napitia maandiko ya kale ya ANNUNAKI nikayasoma haya yote uliyoandika hapa hasa chanzo Cha wale miungu walioabudiwa kale na Assyrian Sumerian na Babylon la kale,chanzo Cha miungu mingi kutokea Kwa jamii hizo ni pale Hao viumbe kuja duniani Kama Allien na kuwafundisha ujuzi watu na kufanya cloning project ya baadhi ya viumbe wa Dunia yetu,
Hivi vitu vimekaa Kama mahadith ya kufikirika Sana ila Kuna muda nachimba Sana nikaja gundua hata dini hizi za Abrahamic chanzo chake ni hayo masimulizi maana ukiunganisha dot ni kwamba hata jamaa wakuitwa baba wa imani Kwa watu flani alitoka kwenye jamii za waashuru wa kale waliobahatika kukutana na viumbe Hao na wakapewa ujuzi Toka kale,
Kingine kinachonifanya niunganishe dot ni pale Abraham anakutana na kiumbe wa ajabu wa kuitwa Merchizedeck aliyekua mtawala wa Salem na kumpa Siri na ujuzi jamaa maana ukiangalia Kwa jicho la tatu huyu mwamba ni kama alikua kiumbe mtu Allien aliyeanzisha makazi hapa Duniani!
Kitu kingine ambacho watu wengi hawakifikirii Kwa kina ni juu ya yule mwamba wa kuitwa
Nabii Elia mtishibi aliyekua na miujiza mingi Hadi ya kushusha moto Ile nilichimba sehemu ilikua ni vita kati yake na watu waliokua wanawahusudu Allien wengine tofauti na jamii yake kutoka Kwa mkuu wake El
Hata hivi masimulizi ya kukndoka na gari la farasi na moto kwenda mbinguni ni umbumbumbu wa masimulizi na uelewa wa mambo Kwani inadaiwa jamaa aliondoka na space shuttle kurudi kwenye sayari Yao akimkimbia Allien mwenye umbo la mwanamke wa wakuitwa Jezebel aliyejifanya pisi Kali Kwa kumlaghai mfalme mmoja wa Uyahudi,maana jamaa nae alikua na deals nae ila jezebel akamkazia na kumchimba mikwara akae mbali,

NB kumbuka Hawa viumbe Allien wanaweza kujigeuza kivyovyote kutokana na aina zao Kama wengi wanavyopenda waita majini!

Haya masimulizi Yana utata Sana ukija unga dot utagundua hata hizi dini ni geresha tu Kuna viumbe wameamua kutengeneza script kwenye maandiko yakuitwa matakatifu wakijinasibu ni miungu wa kweli kumbe wote Wana ajenda Moja tu kufanya wakazi halisi wa hii Dunia kuendelea kua watumwa wa kifikra huko wao wakifanya project zao bila kikwazo

Amka mtu mweusi!
Eti ukiangalia kwa jicho la tatu? Maana halisi ya hizo pembe 3 na namba 13 hujui, mfano mdogo unaweza nieleza kwanini mahotel ya nyota tano hakuna chumba namba 13? Na Kama kipo basi chumba namba tatu hakuna nipe mchanganuo wa hicho ulicho Sema jicho la tatu
 
haahhaha kwahiyo unataka kumaanisha sijui code ya namba tatu ambayo hutumika Kama trinity?
Acha masikhara kwanza inabidi nikuulize wewe Kama unaitambua vema Ili nikutwange maswali matatu juu ya cycle na matokeo yake!
 
Kumbuka umesoma na sie tumesoma tofauti iko wapi? Wewe umesema ibra Mimi najua adamu ni udongo na uhai. Huyo ibra ni nyama nyamani mwa wazazi wake. Vitabu viko vingi hasa India kipo kitabu kinacho Seema Yesu alioa na alifanikiwa kupata watoto tisa je niamini kua ni kweli Yesu alioa? Uzwazwa huo, kajiunge tu usione haya wenzio wanapata pesa na uchawi wenu.
nje ya maada hata sielewi una maana Gani una jumba jumba tu huna ulijualo et Adam ni blah blaaah wewe mtu sikia nikwambie ukweli mchungu,
Wewe sio kizazi Cha Adam Kama ni mmatumbi jua wewe ni mtu narudia wewe ni mtu na sio mwana wa Adam
Kama ulikua hujui Adam alikua ni cloning project ya Moja ya miungu ya ANUNNAK na ndio maana akawekwa kwenye bustani ya Aden peke yake asichangamane na watu
(other people) ambao ni akina sie
Lengo lake ni kizazi chake kiwe watumwa na mkuu wake El baada ya kuona watu wameungana na jamii ya Allien wengine na kufanya Kazi nao akaona isiwe kesi sababu wale Watu wanajitambua na Wana ujuzi mkubwa Bora afanye project ya bin Adam wake ambao watakua under control na kukamilisha project yake
Unajua Nini kilitokea?
Kabla project haijaanza zaa matunda jamii ya Annunaki ambao walikua hawapendi kiumbe yoyote atawaliwe walienda mumsanua Adam kwamba pale Eden atakua mtumwa Kwa kufungwa fahamu na wakampa mbinu za kujinasua
Zile Hadith za kula tunda ni code tu za Adam kufunguka akili na baada ya hapo tunajua Nini kilifuata maana alitimuliwa ndani ya project na kuwekwa nje maana Kuna Siri alizigundua ambazo zingemfanya kumgeuka mkuu wake na kuleta shida kubwa,akatemwa nje na akachangamana na watu wa kawaida!
Kumbuka Adam alikua mwanadam wa kwanza ila hakua mtu wa kwanza watu walikua wapo Toka mwanzo adamu hajatengenezwa maabara
Haya mambo mengine ni magumu na yapo nje ya zile propaganda mlizokalilishwa kwamba sisi wote ni binadamu kumbe uongo mkubwa lengo la uongo huo itengenezwa na mkuu wa Adam Ili apate kuungwa mkono katika project zake na watu baada ya kufeli Kwa project Adam!
 
"Hawa ndio Old Reptilian Generation ambao wanataka kuiteka sayari ya Dunia na kufanya mauaji ya kuuwa watu wote hapa duniani. kisha wajimilikishe dunia na kuwafanya binadamu watu kuwa watumwa hii ndiyo new world order"

HEBU RUDIA KUSOMA HUO UPUUZI ULIOANDIKA HAPO JUU HALAFU FUTA UZI WAKO HARAKA SANA. YAANI WATUUE WOTE THEN WATUFANYE WATUMWA.

Hii ni information age dunia haina siri tena hata UN wametoa ujumbe wao kwa kutumia lizard people juzi au hukuona mjusi anahutubia baraza la umoja wa mataifa ona hapa au na wewe upo na sapoti ajenda yao?

angalia na hapa UNited Nation video Link
 
mleta mada acha kusoma makala au vitabu vilivyoandikwa na conspiracy theorists. vinakupotezea mda.

Ndo mana vikundi kama freemason ni vya siri sana mtu kama wewe akili yako haina uwezo au capacity ya kujua mambo kama haya. Nakushauri fatilia mambo ya michezo kama mpira na taarifa ya habari ya saa mbili kisha angalia na miziki. Vitu hivi sio kwa ajili yako Smart.
 
Mmekasirika nini naona mnataka hata kumuua mleta mada! ? Ni hii mada mmekasirika hivi hadi mnataka kufanya mauaji ya kutisha au stress za maisha

Huwa wanachukia sana siri zao zikiwekwa hadharani lakini wao wanafurahi tukiwa wajinga.
 
Bado huelewi umuhimu wa source katika habari?

Hiki ndio kitu nilipanga kuwaambia watu kwa leo. Source achana nayo mkuu. Wewe jifunze jambo hapo kama hujaelewa uliza kitu.
 
Kwanza unakufuru kwa kusema vitabu vya dini vilitudanganya hapo hapo unazungumzia mbinguni. Wejamaa ninamashaka nawe Kama yule mwenzio mr dhibitisha aka kilanga.

Mkuu ukitaka kupata maarifa weka vitabu vyq dini kando kisha uanze kusoma na vitabu vingine. Usifungwe na vitabu vya dini ulizaliwa umevikuta utakufa utaviacha. Miaka na miaka watu wanatumia hivo vitabu kutawala watu wengine pamoja na kupatiq pesa na wewe umekubali kuaminishwa bila kujithibitishia ukweli
 
Back
Top Bottom