ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,729
- 34,828
Hapa ndio kuna kitu wanasema life begins at 40 usicheze na bareghe ya piliUpo vizuri sana mkuu,naomba link ya siri ya no 40
Hapa ndio kuna kitu wanasema life begins at 40 usicheze na bareghe ya piliUpo vizuri sana mkuu,naomba link ya siri ya no 40
mkuu tatizo watu hawaelewi ya kwamba hapa Duniani kuna wakazi halisi ambao ndio sisi na mijusi watu wa kidrako wavamizi waliotoka anga za juu Toka kale na ndio waanzilishi wa ustaarabu wa civilization za mwanzo Kama Assyrian, Sumerian, Babylon,misri Aztec,Hindus valley nkHii ni information age dunia haina siri tena hata UN wametoa ujumbe wao kwa kutumia lizard people juzi au hukuona mjusi anahutubia baraza la umoja wa mataifa ona hapa au na wewe upo na sapoti ajenda yao?
angalia na hapa UNited Nation video Link
Duuh aisee ama ndio maana wametuletea COVID ili watuchanje tuwe reptilians kama wao ili NWO itimie!?mkuu tatizo watu hawaelewi ya kwamba hapa Duniani kuna wakazi halisi ambao ndio sisi na mijusi watu wa kidrako wavamizi waliotoka anga za juu Toka kale na ndio waanzilishi wa ustaarabu wa civilization za mwanzo Kama Assyrian, Sumerian, Babylon,misri Aztec,Hindus valley nk
Na walijitahidi Sana kufanya cloning wafanane na watu wakazi halisi wa Dunia yetu Ili wakamilishe project zao ila Kwa bahati mbaya kabla hawajakamilisha project zao hua wanageukana na kuvurugana wakigombea utawala wa Dunia ila jambo la kufurahisha ni Kwa baadhi Yao walikua na huruma wanaungana na watu na kusababisha mkanganyiko na mvurugano na kusababisha project kufeli
Baadae wakaja na mbinu za mupandikiza vinasaba vyao Kwa watu wengi Sana Ili lengo lao litimie Leo baada ya hilo kutimia wanakuja na New World Order kukamilisha tunangoja Kama safari Hii wataweza timiza hii agenda Yao!
"Hawa ndio Old Reptilian Generation ambao wanataka kuiteka sayari ya Dunia na kufanya mauaji ya kuuwa watu wote hapa duniani. kisha wajimilikishe dunia na kuwafanya binadamu watu kuwa watumwa hii ndiyo new world order"
HEBU RUDIA KUSOMA HUO UPUUZI ULIOANDIKA HAPO JUU HALAFU FUTA UZI WAKO HARAKA SANA. YAANI WATUUE WOTE THEN WATUFANYE WATUMWA.
Bado huelewi umuhimu wa source katika habari?
Hawa jamaa Wana mbinu Sana hii Covid nadhani ni kama utangulizi wa ajenda zao maana wamefanikiwa kutengeneza kitu ambacho kitaitetemesha Dunia nzima,mataifa yote jamaa zote na kabila zote wameungana katika hili swala la uviko Kwa pamoja na kampeni kabambe za chanjo wangine wakikubali,wengine wakipinga ila wote wapo Kwenye hoax na hofu huwezi amini Hadi wale magaidi na majangiri wapo Kwenye system wanazifuata rules za corona Kwa kuvaa barakoa na kuchukua hatua zote na wamefanikiwa 😁😁😁Duuh aisee ama ndio maana wametuletea COVID ili watuchanje tuwe reptilians kama wao ili NWO itimie!?
Jaribuni kushibisha haya maoni yenu kwa kuandika hata reference ya vitabu mlivyo soma.Aiseee nilikua napitia maandiko ya kale ya ANNUNAKI nikayasoma haya yote uliyoandika hapa hasa chanzo Cha wale miungu walioabudiwa kale na Assyrian Sumerian na Babylon la kale,chanzo Cha miungu mingi kutokea Kwa jamii hizo ni pale Hao viumbe kuja duniani Kama Allien na kuwafundisha ujuzi watu na kufanya cloning project ya baadhi ya viumbe wa Dunia yetu,
Hivi vitu vimekaa Kama mahadith ya kufikirika Sana ila Kuna muda nachimba Sana nikaja gundua hata dini hizi za Abrahamic chanzo chake ni hayo masimulizi maana ukiunganisha dot ni kwamba hata jamaa wakuitwa baba wa imani Kwa watu flani alitoka kwenye jamii za waashuru wa kale waliobahatika kukutana na viumbe Hao na wakapewa ujuzi Toka kale,
Kingine kinachonifanya niunganishe dot ni pale Abraham anakutana na kiumbe wa ajabu wa kuitwa Merchizedeck aliyekua mtawala wa Salem na kumpa Siri na ujuzi jamaa maana ukiangalia Kwa jicho la tatu huyu mwamba ni kama alikua kiumbe mtu Allien aliyeanzisha makazi hapa Duniani!
Kitu kingine ambacho watu wengi hawakifikirii Kwa kina ni juu ya yule mwamba wa kuitwa
Nabii Elia mtishibi aliyekua na miujiza mingi Hadi ya kushusha moto Ile nilichimba sehemu ilikua ni vita kati yake na watu waliokua wanawahusudu Allien wengine tofauti na jamii yake kutoka Kwa mkuu wake El
Hata hivi masimulizi ya kukndoka na gari la farasi na moto kwenda mbinguni ni umbumbumbu wa masimulizi na uelewa wa mambo Kwani inadaiwa jamaa aliondoka na space shuttle kurudi kwenye sayari Yao akimkimbia Allien mwenye umbo la mwanamke wa wakuitwa Jezebel aliyejifanya pisi Kali Kwa kumlaghai mfalme mmoja wa Uyahudi,maana jamaa nae alikua na deals nae ila jezebel akamkazia na kumchimba mikwara akae mbali,
NB kumbuka Hawa viumbe Allien wanaweza kujigeuza kivyovyote kutokana na aina zao Kama wengi wanavyopenda waita majini!
Haya masimulizi Yana utata Sana ukija unga dot utagundua hata hizi dini ni geresha tu Kuna viumbe wameamua kutengeneza script kwenye maandiko yakuitwa matakatifu wakijinasibu ni miungu wa kweli kumbe wote Wana ajenda Moja tu kufanya wakazi halisi wa hii Dunia kuendelea kua watumwa wa kifikra huko wao wakifanya project zao bila kikwazo
Amka mtu mweusi!
nje ya maada hata sielewi una maana Gani una jumba jumba tu huna ulijualo et Adam ni blah blaaah wewe mtu sikia nikwambie ukweli mchungu,
Wewe sio kizazi Cha Adam Kama ni mmatumbi jua wewe ni mtu narudia wewe ni mtu na sio mwana wa Adam
Kama ulikua hujui Adam alikua ni cloning project ya Moja ya miungu ya ANUNNAK na ndio maana akawekwa kwenye bustani ya Aden peke yake asichangamane na watu
(other people) ambao ni akina sie
Lengo lake ni kizazi chake kiwe watumwa na mkuu wake El baada ya kuona watu wameungana na jamii ya Allien wengine na kufanya Kazi nao akaona isiwe kesi sababu wale Watu wanajitambua na Wana ujuzi mkubwa Bora afanye project ya bin Adam wake ambao watakua under control na kukamilisha project yake
Unajua Nini kilitokea?
Kabla project haijaanza zaa matunda jamii ya Annunaki ambao walikua hawapendi kiumbe yoyote atawaliwe walienda mumsanua Adam kwamba pale Eden atakua mtumwa Kwa kufungwa fahamu na wakampa mbinu za kujinasua
Zile Hadith za kula tunda ni code tu za Adam kufunguka akili na baada ya hapo tunajua Nini kilifuata maana alitimuliwa ndani ya project na kuwekwa nje maana Kuna Siri alizigundua ambazo zingemfanya kumgeuka mkuu wake na kuleta shida kubwa,akatemwa nje na akachangamana na watu wa kawaida!
Kumbuka Adam alikua mwanadam wa kwanza ila hakua mtu wa kwanza watu walikua wapo Toka mwanzo adamu hajatengenezwa maabara
Haya mambo mengine ni magumu na yapo nje ya zile propaganda mlizokalilishwa kwamba sisi wote ni binadamu kumbe uongo mkubwa lengo la uongo huo itengenezwa na mkuu wa Adam Ili apate kuungwa mkono katika project zake na watu baada ya kufeli Kwa project Adam!

nyie jamaa

Kalikimbia hili swali mkuuHili ni swali muhimu sana
usipende tafuniwa Kila kitu nenda Hata Wikipedia Anza kuwachimba kiundani Annunaki hizi information zote zipo ila Kama una kichwa kigumu itakua ngumu kuelewa ila kama ni mtu wa historia utaconect dot!Jaribuni kushibisha haya maoni yenu kwa kuandika hata reference ya vitabu mlivyo soma.
Kila mtu anasema nimechimba nimechimba hivyo vitabu mlivyo chimba si muviweke hapa na sisi tujiridhishe na waandishi pamoja na kilicho andikwa

Aiseee nilikua napitia maandiko ya kale ya ANNUNAKI nikayasoma haya yote uliyoandika hapa hasa chanzo Cha wale miungu walioabudiwa kale na Assyrian Sumerian na Babylon la kale,chanzo Cha miungu mingi kutokea Kwa jamii hizo ni pale Hao viumbe kuja duniani Kama Allien na kuwafundisha ujuzi watu na kufanya cloning project ya baadhi ya viumbe wa Dunia yetu,
Hivi vitu vimekaa Kama mahadith ya kufikirika Sana ila Kuna muda nachimba Sana nikaja gundua hata dini hizi za Abrahamic chanzo chake ni hayo masimulizi maana ukiunganisha dot ni kwamba hata jamaa wakuitwa baba wa imani Kwa watu flani alitoka kwenye jamii za waashuru wa kale waliobahatika kukutana na viumbe Hao na wakapewa ujuzi Toka kale,
Kingine kinachonifanya niunganishe dot ni pale Abraham anakutana na kiumbe wa ajabu wa kuitwa Merchizedeck aliyekua mtawala wa Salem na kumpa Siri na ujuzi jamaa maana ukiangalia Kwa jicho la tatu huyu mwamba ni kama alikua kiumbe mtu Allien aliyeanzisha makazi hapa Duniani!
Kitu kingine ambacho watu wengi hawakifikirii Kwa kina ni juu ya yule mwamba wa kuitwa
Nabii Elia mtishibi aliyekua na miujiza mingi Hadi ya kushusha moto Ile nilichimba sehemu ilikua ni vita kati yake na watu waliokua wanawahusudu Allien wengine tofauti na jamii yake kutoka Kwa mkuu wake El
Hata hivi masimulizi ya kukndoka na gari la farasi na moto kwenda mbinguni ni umbumbumbu wa masimulizi na uelewa wa mambo Kwani inadaiwa jamaa aliondoka na space shuttle kurudi kwenye sayari Yao akimkimbia Allien mwenye umbo la mwanamke wa wakuitwa Jezebel aliyejifanya pisi Kali Kwa kumlaghai mfalme mmoja wa Uyahudi,maana jamaa nae alikua na deals nae ila jezebel akamkazia na kumchimba mikwara akae mbali,
NB kumbuka Hawa viumbe Allien wanaweza kujigeuza kivyovyote kutokana na aina zao Kama wengi wanavyopenda waita majini!
Haya masimulizi Yana utata Sana ukija unga dot utagundua hata hizi dini ni geresha tu Kuna viumbe wameamua kutengeneza script kwenye maandiko yakuitwa matakatifu wakijinasibu ni miungu wa kweli kumbe wote Wana ajenda Moja tu kufanya wakazi halisi wa hii Dunia kuendelea kua watumwa wa kifikra huko wao wakifanya project zao bila kikwazo
Amka mtu mweusi!

Lucifer ni ile nyota ya asubuhi inayong'aa sana, ndo inaitwa lucifer,, lakini kama sikosei yesu pia katika ufunuo ameitwa , nyita ya asubuhi,,Kwanini?
mkuu hii siyo yangu mbona Ipo kwenye historia ya mwanzo ya miungu wa Sumerian, Babylon na Assyrian aiseee Soma na uchimbue kuwahusu Annunaki utayapata haya Hata huko Wikipedia Kama primary source mkuu mambo yapo wazi Sana!Kwamba tuamini yako hii nyingine ni umbumbumbu![]()
Tumekasirika kwa sababu anatu discourage tusipate utelezi a.k.a sex.Mmekasirika nini naona mnataka hata kumuua mleta mada! ? Ni hii mada mmekasirika hivi hadi mnataka kufanya mauaji ya kutisha au stress za maisha
Leta vielelezo wewe acha janja janja.Its pointless