Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Mbn huws sioni mirejesho ya kupata pesa,naona matangazo tu namna ya kujiunga,waliojiunga mrejesho tafadhari..
 
*BITCLUB ADVANTAGE NINI?*
_Hii ni kampuni ya kimataifa inayofanya biashara ya ubadilishaji wa fedha dijitali (crypto currencies exchange)
_Hii ni kampuni iliyoundwa na timu ya Wafanyabiashara Wataalamu na wenye Uzoefu wa kutosha katika moja ya masoko makubwa ya kifedha ya leo, CRYPTOCURRENCY. Lengo letu ni kutoa washirika wetu na faida ya kila siku na mara kwa mara katika masoko haya._
_Katika biashara, lengo ni kutengeneza faida kwa njia ya kununua kwa bai ya chini na kuuza, bidhaa, au sarafu ya digital, kwa bei ya juu kuliko ile uliyoinunulia._
_Imelenga katika kutumia teknolojia maalumu inayowawezesha kupata faida kubwa na kugawana faida hiyo na wajasiriamali waliowekeza mitaji yao katika kampuni kwa muda wa wiki 52. Mwekezaji ataweza kutengeneza faida hadi 300% ya uwekezaji wake
*Katika uwekezaji wako chagua kati ya vifurushi 7:*
_PACKAGES hapa chini bei iliyoainishwa ni pamoja na membership fee na transfer charges na pia zinaweza kubadilika kutokana na thamani ya $ kwa wakati husika:-_
*1. Client Partner – Inauzwa kwa $30 = Tsh 67,500*
Ina Points = 5
Unalipwa kwa siku = $0.28 = Tsh 630
Unalipwa kwa Wiki = $1.40 = Tsh 3150 (Jumatatu hadi Ijumaa)
Unalipwa kwa Mwezi = $6.16 = Tsh 13,860
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $0.75 (Unatozwa wewe)
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($75= Tsh 168,750)
*2. Client Basic - Inauzwa kwa $55 = Tsh 123,750*
Ina Points = 10
Unalipwa kwa siku = $0.56 = Tsh 1260
Unalipwa kwa Wiki= $2.80 = Tsh 6,300 (Monday to Friday)
Unalipwa kwa Mwezi= $12.32 = Tsh 27,720
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $1.5
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($150= Tsh 337,500)
*3. Client Bronze - Inauzwa kwa $110= Tsh 247,500*
Ina Points = 20 Unalipwa kwa siku = $1.35 = Tsh 3037.5
Unalipwa kwa Wiki= $6.75 = Tsh 15,185
Unalipwa kwa Mwezi = $29.70 = Tsh 66,825
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi ni = $2.97
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300%. i.e ($297= Tsh 668,250)
*4. Client Silver - Inauzwa kwa $270= Tsh 607,500*
Ina Points = 50
Unalipwa kwa siku = $3.39 = Tsh 7618.5
Unalipwa kwa Wiki= $16.93 = Tsh 38,100
Unalipwa kwa Mwezi = $74.50 = Tsh 167,625
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $ 7.47
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii ROI = 300% i.e ($747= Tsh 1,680,750)
*5. Client Gold - Inauzwa kwa $550= Tsh 1,237,500*
Ina Points = 100
Unalipwa kwa siku = $6.79 = Tsh 15,277.5
Unalipwa kwa Wiki = $33.93 = Tsh 76,342.5
Unalipwa kwa Mwezi = $149 = Tsh 335,925
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($1497 = Tsh 3,368,250)

*6. Client Premium - Inauzwa kwa $1060=Tsh 2,385,000*
Ina Points = 200
Unalipwa kwa siku = $13.59 = Tsh 30,577.5
Unalipwa kwa Wiki= $67.93 =Tsh 152,842.5
Unalipwa kwa Mwezi = $298.90 = Tsh 672,525
Gharama ya uendeshaji kwa mwezi = $24.98
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($2997 = Tsh 6,743,250)

*7. Client Black- Inauzwa kwa $2060= Tsh 4,635,000*
Ina Points = 400
Unalipwa kwa siku = $30.78 = Tsh 69,255
Unalipwa kwa Wiki = $153.92 = Tsh 346,320
Unalipwa kwa Mwezi= $677.26 = Tsh 1,523,835
Gharama ya Uendeshaji kwa Mwezi = $49.98
Faida Utakayorudishiwa kwa package hii (ROI) = 300% i.e ($5997 = Tsh 13,493,250)
*NB:*
```1. Rate ya kubadilisha fedha kwa sasa @ $1 =Tsh 2250
2. Point 1 = $1 (Cheki kila package na point zake)
3. Baada ya kupokea faida ya 300% ya kile ulichowekeza, angalia kwa kila package hapo juu, Unawekeza kiwango kilekile tena ili uendelee kufaidi tena faida ya 300% ya utakayowekeza mara ya pili.```


Kwa maelezo zaidi njoo inbox au nitafute kwa namba izi nisipo kuwa online 0625672871
Hii sio Bitcoin .. Mpuuezeni hawa ni matapeli kama Ponzi schemes zingine zilivyo msije kusema hatukuwaambia.


Huu ni utapeli kama tapeli zingine.


Epukeni.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom