BON255
Member
- Apr 6, 2015
- 73
- 16
Download hii app (BITKOIN.IO) kwenye simu yako, hii itakusaidia kujua mabadiliko yanayotokeaNice. Imefika rate gani sasa hivi?

Kwahiyo mkuu mathalani nimenunua Bitcioin za laki 1 kwa tigo pesa,ili nipate faida nafanyaje?Na je naweza itoa pesa yangu ikawa cash?Download hii app (BITKOIN.IO) kwenye simu yako, hii itakusaidia kujua mabadiliko yanayotokea
Bitcoin sasa inakaribia $1000 and still growing.CYBERTEQ post zako hizi ni za 2013 vipi kwa sasa mambo yakoje? Inaaminika kweli hii Bitcoin? Sio swali kwa mleta post na kwa wengine interested na wanaofahamu.
Mkuu, ahsante. Ila naomba unijulishe kuwa huo utapeli unafanyikaje maana kuna watu wananiambia wanaishi kwa hiyo kitu.Huo ni utapeli hiyo sio BITCOIN wanatumia vibaya jina kuwaibia watu.
Bitcoin ni aina ya currency/fedha zinazojulikana kama cryptocurrency hizi fedha zipo designed kutumia sayansi na hesabu za cryptography kuzitengeneza na kulinda mfumuko wake.
Fanya hivyo mkuu. Nitatumia hata dictionaryKama unafahamu kiingereza nikutumie kitabu soft copy cha Bitcoin For Dummies, kinaelezea kila kitu na hutasita kununua bitcoin, unaweza kupokea bitcoin zako had I kwenye mpesa.....hahahahaha woga wako ndio adui yako.
Hebu ntumie mkuu npitieKama unafahamu kiingereza nikutumie kitabu soft copy cha Bitcoin For Dummies, kinaelezea kila kitu na hutasita kununua bitcoin, unaweza kupokea bitcoin zako had I kwenye mpesa.....hahahahaha woga wako ndio adui yako.
Sasa tunaanzaje ili kuweza kumiliki hii pesaCRYPTO-CURRENCY TANZANIA BITCOIN(BTC)
Bitcoin Ni nini.
Bitcoin ni fedha kama zilivyo fedha nyingine kama USD, TSH, KES nk. Hivyo unaweza kutumia Bitcoin kufanya miamala ya kifedha duniani kote kwa gharama nafuu.
Tofauti ya Bitcoin na fedha nyingine za kawaida nikwamba Bitcoin ni kidigitali(Digital Currency/Cryptocurrency).
Tukisema Bitcoin ni Digital Currency tunamaanisha kuwa fedha hii inaonekana kwenye namba tu, na hiyo namba ndio inabeba thamani yake. Mfano ukiwa na salio Tigopesa au M-Pesa ile ni namba tu inayobeba thamani ya pesa..
Kwasasa thamani ya Bitcoin 1 ni sawa na fedha ya Kitanzania 2,500,000TZS.
Kwanini Bitcoin ina thamani kubwa na ni fedha ya kipekee?
Bitcoin hupanda thamani na kuwa ya kipekee kutokana na sifa zifuatazo;
- Fedha hii halimilikiwi na serikali yoyote duniani hivyo huifanya isiathirike na mtikiso wa uchumi duniani.
-Ukitumia fedha hii unajihakikishia uhuru wa faragha kwamaana hakuna mtu yoyote atakayeweza kudukua miamala yako yakifedha sababu kila muamala utakaoufanya unakua na address mpya hivyo inaweka ugumu kufatilia fedha imetoka kwanani na inaenda wapi.
-Gharama ndogo sana za kufanya miamala kwenda sehem yoyote duniani huifanya pesa hii kuwa adimu sana.
-Huwezi kughushi fedha hii, haiwezekani kwa mtu yoyote kutengeneza fedha hii isipokua kwa utaratibu maalum(bitcoin mining).
Haya yote yamewezekana kwa kugulindulika kwa technology mpya duniani iitwayo blockchain technology (digital ledger) daftari la kumbukumbu la kidigitali linalohifadhi miamala (transactions) na kutunza kumbukumbu automatically bila uhitaji mtu wa kati(middle man) .
Wew Ni mwanachama WA cryptobtx???CRYPTO-CURRENCY TANZANIA BITCOIN(BTC)

Stil unknownNitawezaje kukutana na Satoshi Nakamoto........?
Wanasema thamani yake imezidi goldNimeona mambo ya bitcoin leo BBC