Historia ya BITCOIN: Uliza chochote nitajitahidi kukujibu

Tujikumbushe ya mwaka 2007 afu turudie haya yanayoonekana mapya ya Bitcon na Forex. I prefer investing on real Assets, how come mwenye kampuni hajulikani na wewe unaishi kwa Comission baada ya Mimi kuingia huko.

"Hii nayo ni sawa na Ku bet tu".

Hizi online money zinazokosa "fiduciary Responsibilities" huwa sifanyi.
 
Bitcoin is real ma G
 
Mkuu una lengo gani hasa?

Nilitegemea uweke kila kitu hapa,

Mkishaanzaga mambo yenu ya whatsup utata ndo huja
 
Nimepata nafasi kidogo ya kuwasikia hawa jamaa wakifanya mafunzo ya cryptocurrency na nikawa na interest ya kujiunga lakini yule jamaa aliyekuwa akifundisha alikatisha tamaa watu wasiulize maswali.Rai yangu ni kwamba,huyu jamaa aliyekuwa mwalimu wa sekondari,asitumike kufundisha maana anatumia mbinu za kufundisha wanafunzi wa sekondari akiwaona washiriki kama watoto wadogo wa form two
 
Mimi kidogo nashangaa Administrators hapa. Kila mara tunaanza uzi wa Bitcoin au wa Blockchain utakuta wanauchangaya ndani ya uzi hu. Namna hii tunaweza kupata wale wanaotaka tujiunge na Bitcoin club au Bitcoin sijui nini, ingawa ni sawa na Deci, wale wanaotaka kutuelimisha kuhusu Bitcoin na Altcoins Nyingine, wale wanaotaka kuongea kuhusu Blockchain na tokenisation, na impact ya Blockchain na uchumi wa kidijitali katika bara ya Africa na nchi yetu.
Nafikiri lazima Administrators pia wajielimishe kidogo, si kila kitu Bitcoin na si kila mtu anataka kuongea kitu kile kile. Naacha link moja nzuri kuhusu Blockchain na Africa.
Recommended: Crypto continent — an African snapshot » Brave New Coin
 
Mwenye uelewa wa hii currency
e8ef62f12e6ae4fdf678e5009848d48a.jpg
 
Nitaanza na kueleza mapito ambayo mwanadamu amekuwa akipitia kwenye kubadilishana bidhaa yoyote na fedha au vito!!

*1. Barter Trade Age*

Wengi tunajua mfumo huu wa manunuzi na mauzo ya vitu uliojulikana kama Barter Trade.

Barter trade ni mfumo ambao watu walibadilishana bidhaa kwa bidhaa, hapakuwa na fedha kama sasa. Kwa hiyo ukihitaji nguo inabidi umpe anayeuza nguo kile ulichonacho mfano mnabadilshana nguo kwa kuku, mahindi kwa mbuzi na kadhalika. Mfumo huo ukapita ukaja mfumo mwingine!!

*2. Vito vya Thamani kama Dhahabu.*

Ulimwengu ulihama kutoka kwenye zama za kubadilisha vitu kwa vitu ukahamia kwenye kubadilisha vitu kwa KITO cha thamani kama dhahabu. Thamani ya vipande vya dhahabu ilipimwa kwa wingi au ubora wa bidhaa husika inayobadilishana na kipande hicho cha dhahabu. Mfumo huu au zama hizo zikapita. Ukaja mfumo mwingine!! Endelea kusoma.....

*3. Coin and Paper money Age*.

Matumizi ya dhahabu bado yalikuwa magumu sana. Wizi na ugumu wa kusafiri na vipande vya dhahabu viliifanya dunia kuja na mfumo wa sarafu na fedha za makaratasi. Mfumo huu ndo ambao tunautumia kwa kiasi kikubwa mpaka sasa. Mfumo huu umedumu sana kwa karne nyingi!!

Hata hivyo, mfumo huu unaendelea kukosa nguvu. Tangu miaka ya 2005 mfumo mpya wa kutembea na Phone Wallets au mobile money umedhoofisha sana mfumo wa paper note au coin money!!

*4. Mobile Money Age.*

Huu ni mfumo ulioletwa na Internet na Mobile phones. Mfumo huu umeanza miongo kama miwili iliyopita yaani mwisho mwa miaka ya 1990.

Mfano wa Mobile Money ni: Western Union, MPESA, Tigo Pesa, Airtel Money, Simbanking, Pesa Fasta, na mifumo mingine mingi ya kutuma, kupokea, na kutumia pesa kwa kutumia mitandao ya simu na internet au simu.

Mobile Money imeleta mageuzi makubwa sana kwenye mfumo wa fedha duniani. Fedha inahamishika kirahisi. Biashara nyingi zimekuwa rahisi kwa sababu ya matumizi ya Mobile Money au Mobile Banking. Mfumo huu nao unataka kufika kwenye kilele chake!! Mfumo ufuatao ndio unaenda kutawala tena ulimwengu wa biashara na sekta ya fedha! Hebu twende pamoja!!!!!

*5. CryptoCurrency Age.*

Kuanzia mwaka 2009 Sarafu ya Digitali iitwayo *BITCOIN* ilipovumbuliwa na *Satoshi Nakamoto* kumekuwepo mabadiliko makubwa sana kwenye sekta ya fedha duniani!!

Sasa dunia imeingia kwenye mfumo mpya na bora zaidi wa kutuma, kupokea na kutumia fedha ujulikanao kama *CryptoCurrency.* CryptoCurrency ni Sarafu ya Digitali au ni Sarafu iliyojificha ambayo huwezi kuiona kwa macho (Crypto).

Crypto ni kitu kisichoweza kuonekana kirahisi, not tangible, not visible but valuable, top secret, etc!

Kama ilivyo kwa mobile money,(Digit zilizobeba thamani ktk M-Pesa, Tigo-Pesa, etc.

*Cryptocurrency* ni fedha ya kidigitali ambayo haishikiki lakini unaweza kuitumia kwa matumizi yako ya kila siku.

Ngoja nitoe mfano wa mobile money inavyoweza kutumika kama digital money.

Umewahi kwenda sehemu ukaona wameandika lipa hapa kwa Tigopesa? Yaani kama una hela kwenye Tigopesa au Mpesa unalipia huduma au bidhaa bila kutoa sarafu au noti ( actual coins or paper note)? Unaweza Kupata chakula hotelini na ukalipia huduma hiyo bila kutoa noti mfukoni mwako!! Nk.

Umewahi kuona kwenye super markets watu wananunua bidhaa au huduma kwa kutumia master au visa cards bila kutoa fedha mfukoni?

Hivyo ndivyo Cryptocurrency itakavyofanya kazi siku zinazokuja kuanzia sasa!!

Swali, kama Mobile Money ipo, Cryptocurreny ya nini tena?

Jibu ni kwamba, Cryptocurrency ina faida nyingi naomba nitaje baadhi tu:

1. Kutuma na kupokea fedha ni bure kabisa duniani kote!!!
2. Kutuma na kupokea pesa ni kwa haraka kama unavyotuma na kupokea ujumbe wa email kwenye internet au WhatsApp na Twitter!
3. Cryptocurrency inatumika dunia nzima wakati mobile money nyingi zinatumika eneo husika tu ambapo mtandao wa simu upo. Mf MPESA
4. Mfumo wa Cryptocurrency ni madhubuti sana kwa hiyo ni ngumu sana kuibiwa (money laundering).
5. Akaunti yak

Bitcoin inahifadhiwa wapi?

Hizi bitcoin huhifadhiwa Kwenye online pochi(wallet) ambayo hii inakuwa ndio bank yako ambayo unaimiliki wewe mwenyewe

Wallet za kuhifadhia bitcoin

www.localbitcoin.com

www.blockchain.com

Zipo nyingi lakini hizo ndo the best kwangu

Je bitcoin naweza kuibadadili kuwa tzs?

Ndio bitcoin unaweza kuibadili kuwa pesa ya nchi yoyote ile mfano, Tanzania tunaweza kubadisha bitcoin kuwa Tzs kupitia www.Bitpesa.com na www.bitwala.com kuwa pesa ya kawaida na kuingia Kwenye tigo pesa, M-pesa au Airtel money

Pia unaweza kuibadili kuwa pesa ya Tanzania kwa kuwauzia mawakala Online kupitia www.Remitano.com www.localbitcoin.com

Bitcoin 1 ni nini?.

Bitcoin imegawanyika katika makundi ya namba unaweza kununua bitcoin kulingana na uwezo wako 0.0001, 0.001, 0.001, 0.01, 0.1, hadi 1 bitcoin Njia ya kuangalia thamani ya bitcoin kama imepanda au imeshuka unaeza kwenda Google sehemu ya search utaandika kiasi cha bitcoin unacho taka kujua thamani yake then una Search mfano bitcoin 0.01 to tzs? Google watakupa Jibu
 
Saf sana
 
Safi sana Mkuu. Nakupongeza mno kwa kuleta mada hii ya cryptocurrency ambapo kwa sasa, sisi tuliowengi ngozi nyeusi na wasomi wetu na vyombo vyetu vya habari havijadili masuala ya kiuchumi kama haya, hawaelimishi jinsi yanavyoleta faida na kuondoa umaskini, wapo bize wanaweka heshima bar na kugombania usiasa.
Sasa hivi (13:58 hrs 29/12/2017 thamani ya Bitcoin imefika $10,928 ambayo ni kama shilingi za Tanzania 21,000,000. Hii inaonesha kwamba huko duniani wanaigombania sana bitcoin. watu wanawekeza kwenye cryptos mining kama Envion na Genesis, billions of dollars zinawekezwa daily katika kununua na kuhold ili kutengeneza faida.
Huku watu wananunua graphic cards kucheza computer games, wenzetu wanazinunua tena kwa wingi sana kutengeneza pesa (kwa njia ya cryptocurrency mining).
1496952764501-image3.jpeg

Cryptocurrency zimesababisha kitu kinaitwa transfer of wealth. Aliyekuwa maskini sasa kawa tajiri. Miners waliokuwa maskini sasa ni mabilionea. Kama utani vile, mtu mmoja akanunua pizza 2 kwa Bitcoin 10,000 kwaka 2010. Sasa bitcoin hizo zina thamani ya dollar million 100.
January 2017 Bitcoin ilikuwa na thamani ya $ 900. Kuelekea December mwaka huu, hali ndo hiyo, inakafiriwa itakuwa na thamani ya $ 20,000 kabla ya mwisho wa mwaka 2018!
Tujifunze sana mabadiliko ya kiteknolojia yanavyoathiri uchumi.

Lakini mkuu Jumaaofficial hapo namba 5 nikukosoe kidogo. Cryptocurrency na mobile money ni tofauti. Mathalani, Cryptocurrency kama vile bitcoin, ethereum, bitcash, dash, neo, rubble etc ni fedha kama fedha nyingine isipokuwa zenyewe ni digital not fiat. Zina thamani, zinauzwa na kununuliwa
Hizi mobile money kama M-pesa, tigo-pesa, western union, paypal sio fedha bali ni mfumo wa kuhifadhi na kutuma fedha tu. Ndio maana western union na paypal zinazotumika worldwide hazina value yoyote na zinajenarate mapato kutokana na makato/fee tofauti na bitcoin amabyo mtu anayesolve mathematical problems zinazohusu exchange anapata reward interms of Bitcoin/Satoshi.
Watanzania its time to discuss this openly.
 
Back
Top Bottom