BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,319
- 23,499
- Thread starter
- #81
Hahaha sitaki vyote.Kuku***toza Kipenzi Kwani Ulikuwa Unahitaji Na Kutombwa Baada Ya Tozo...??
Hahaha sitaki vyote.Kuku***toza Kipenzi Kwani Ulikuwa Unahitaji Na Kutombwa Baada Ya Tozo...??
Ningekuwa Kijana ningejaribu, ila Kwa Uzee huu nilionao unaweza kunipandisha kisukari na presha bure katikati ya safari 😜Mhhh!!!!! Jaribu ujionee
Usiogope babu, nitakunogesha taratibu taratibu 😁😁Ningekuwa Kijana ningejaribu, ila Kwa Uzee huu nilionao unaweza kunipandisha kisukari na presha bure katikati ya safari 😜
Hakuna kufanya majaribio na mabinti wa NtwaraUsiogope babu, nitakunogesha taratibu taratibu 😁😁
Kumbe ni mwanamke. Siku zote nilidhani wewe ni shogaAnaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika.
Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16, baba yangu alinipeleka nchini uingereza kwa ajili ya masomo ya elimu ya Juu.
Nimekaa nchini uingereza kwa takribani miaka sita, nikatunukiwa shahada ya tatu yaani PhD katika chuo kikuu cha Oxford.
Mnamo mwaka 2015 nilirejea nchini Tanzania, nilibahatika kuolewa na Mmakonde mwenzangu. Elimu yake ni shahada ya kwanza.
Jamani yule kaka anapiga mauno!! Anyway, siri ya ndani.
Mama mkwe wangu ni Brigedia, mwanajeshi mstaafu. Kuna siku tulikuwa na sherehe ya kipaimara nikavunja chupa ya soda kwa bahati mbaya, jamani alinibutua makofi!!! Khaaa!
Kwa sasa nina watoto wanne wa kiume wote. Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
Nikajua labda ni nuts and bolt za kichwa zimelegeaKivipi tena?
Kumbe ni mwanamke. Siku zote nilidhani wewe ni shoga
Ma kwa miaka ya sasa itakuwa zaidi maana watoto wanawahi shule sana.Amini bruh,, kuna demu tulimalize naye chuo ana 25 saa hv na ana masters tyr,,
Sasa wengine mpka upate kazi mara usomeshe wadg zako ndo unakuja kusoma masters una miaka 30 au 40
Njoo uzikaze.Nikajua labda ni nuts and bolt za kichwa zimelegea
Nyamaza we bwabwa wa ubungo.Jamaa itakua anapakuliwa huyo
Hata mimi naamini huyu ni shoga tu, anapretend eti yeye ni mwanamke kumbe upinde tuJamaa itakua anapakuliwa huyo
Kinyeleo ?? HahahaKaribu BAMTU
Nyamaza we bwabwa wa ubungo.
Hata mimi naamini huyu ni shoga tu, anapretend eti yeye ni mwanamke kumbe upinde tu
Amini ya kuwa mzee,Ma kwa miaka ya sasa itakuwa zaidi maana watoto wanawahi shule sana.
Uandishi wako mzuri; inaonesha Phd yako sio ya maboksi.Anaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️