Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,870
- 7,347
Bichwa komwe kwenye moja na mbili.
Nimekumiss!Bichwa komwe kwenye moja na mbili.
Asante mamdogo kwa kuweka rekodi sawa.Katika watu wenye akili humu JF na bichwa komwe aka Divisheni foo mmojawapo....
Achilia mbali mdomo wake mchafu ila angalia upande wake wa pili kwenye hoja zingine utajua ni big brain.....
Sema ana mdomo mchafuuuu uchafu wenyewe ukasome...
Halafu sio shoga ni mama wa familia...msijichanganye
Huna lolote ulipata wenye hela ukanipiga chini😊Nimekumiss!
😂😂😂😂 nakuja Tabata tuyazungumze daddyHuna lolote ulipata wenye hela ukanipiga chini😊
😍🌷🌷🥰❤️🎀🎀🥰🥰🥰🥰Ushindwe kujihurumia nafsi yako ilojaa umasikini, umuhurumie mtu usomjua? Loooh 😁😁😁
Chifu umewaza mbali sana, lakini kwa usahihi mno.Tusimame dakika 1 kimya kama ishara ya kumuonea huruma Baba yake kwa kupoteza ada.
Nakubaliana nawe ktk hilo.Nishaona akitema mawe ya maana sana sema ndo hivyo hata maprofesa vichaa wanaofundisha vizuri wanafunzi wao wapo☹️☹️.Katika watu wenye akili humu JF na bichwa komwe aka Divisheni foo mmojawapo....
Achilia mbali mdomo wake mchafu ila angalia upande wake wa pili kwenye hoja zingine utajua ni big brain.....
Sema ana mdomo mchafuuuu uchafu wenyewe ukasome...
Halafu sio shoga ni mama wa familia...msijichanganye
Samahani, hiyo PhD yako huko Ulaya inahusu nini? Nimeuliza kutokana na mambo yako humu JFAkuoe nani mbunye mbovu kama ng'onda!
Huyu ndo mtu mwenye elimu kutoka kwa malikiaAnaandika BICHWA KOMWE ✍️✍️✍️
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika.
Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16, baba yangu alinipeleka nchini uingereza kwa ajili ya masomo ya elimu ya Juu.
Nimekaa nchini uingereza kwa takribani miaka sita, nikatunukiwa shahada ya tatu yaani PhD katika chuo kikuu cha Oxford.
Mnamo mwaka 2015 nilirejea nchini Tanzania, nilibahatika kuolewa na Mmakonde mwenzangu. Elimu yake ni shahada ya kwanza.
Jamani yule kaka anapiga mauno!! Anyway, siri ya ndani.
Mama mkwe wangu ni Brigedia, mwanajeshi mstaafu. Kuna siku tulikuwa na sherehe ya kipaimara nikavunja chupa ya soda kwa bahati mbaya, jamani alinibutua makofi!!! Khaaa!
Kwa sasa nina watoto wanne wa kiume wote. Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.