Historia ya Bichwa Komwe: Maktaba ya Jamiiforums

Ila Jf Ina wajuaji sana,

O-level nimemaliza nikiwa na miaka 17 kwann mnashangaa huyu wa 16,

Wengine walianza shule muda muafaka na hawakurudia rudia,,

Kipindi nipo ordinary mpk Advance nilikuwa naonekana kama dogo sana kwa sababu wengi niliowakuta walikuwa wakubwa, watu wananyoa mpka ndevu kabisa na wengine zina mpka ile kma ukoka aani,,

Watu wanatofautiana
 
Kweli kabisa📌
 
Siyo wajuaji.Hawajazoea kuona au kusikia umri huo mtu akawa amehitimu elimu ya sekondari.Wengine walisoma shule/kushuhudia watu wazima kuanzia miaka kumi na nane ndiyo wapo darasa la tatu.
 
20250820_015109.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom