The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,175
- 121,733
Mtaachana tu,๐๐๐๐๐๐๐ siachiki leo wala kesho
Wiki ijayo nina safari ya kwenda Sumbawanga kwa Babu.

Akuoe nani mbunye mbovu kama ng'onda!Tokaaaaaa
๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ ndo useme ukweliAkuoe nani mbunye mbovu kama ng'onda!
Hata kuolewa jamani tutozwe ushuru?Una To***Zwa Ushuru Lakini..??Na Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania...
Funika hiyo mbunye na tambara unatutia kichefuchefu.๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ๐ฅบ ndo useme ukweli
Muhuni umetaja ID zote za muhuni mwenzio ila umeisahau moja tu isome hapoPisi ya Maghayo Busu la Kenge karibu tena Jf baada ya kifungo kirefu .
Maghayo Leo litafurahi ni Sherehe kwa sisi Mongolian Gang ;
Cc : The Mongolian Savage
Ghayo TheMongo Barbarian
Kumbe wewe ni demu, nilijua wewe ni punga, a.k.a shogaAnaandika BICHWA KOMWE โ๏ธโ๏ธโ๏ธ
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika.
Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16, baba yangu alinipeleka nchini uingereza kwa ajili ya masomo ya elimu ya Juu.
Nimekaa nchini uingereza kwa takribani miaka sita, nikatunukiwa shahada ya tatu yaani PhD katika chuo kikuu cha Oxford.
Mnamo mwaka 2015 nilirejea nchini Tanzania, nilibahatika kuolewa na Mmakonde mwenzangu. Elimu yake ni shahada ya kwanza.
Jamani yule kaka anapiga mauno!! Anyway, siri ya ndani.
Mama mkwe wangu ni Brigedia, mwanajeshi mstaafu. Kuna siku tulikuwa na sherehe ya kipaimara nikavunja chupa ya soda kwa bahati mbaya, jamani alinibutua makofi!!! Khaaa!
Kwa sasa nina watoto wanne wa kiume wote. Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
Kuolewa Haizuii Kutozwa Ushuru.....Ushuru Ni Kwa Ajili Ya Maendeleo Ya Wananchi Na Nchi Kiujumla....Jitahidi Bila Shurti Uto***zwe Ushuru..Hata kuolewa jamani tutozwe ushuru?
Mimi ni demu mbona toka kitambo!Hahaha we pimbi sikuelewagi kunakipindi nahis ni wakiume kunakipindi nahis ni msagaji kuna kipind nahis bwabwa nasivi unasema ni wakike
Story fake hio hilo ni dume linalogawa mlango wa nyuma, kua makini usijae kwenye mfumoKumbe wewe ni demu, nilijua wewe ni punga, a.k.a shoga
Mimi ni demu babaangu.Kumbe wewe ni demu, nilijua wewe ni punga, a.k.a shoga
Ushuru gani jamani!Kuolewa Haizuii Kutozwa Ushuru...
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ hata ukituloga tutazidi kudumu katika ndoa.Mtaachana tu,
Wiki ijayo nina safari ya kwenda Sumbawanga kwa Babu.
Kwani Wewe Unahitaji Kuto***zwa Ushuru Upi..???Ushuru gani jamani!
Ushuru wa forodha.Kwani Wewe Unahitaji Kuto***zwa Ushuru Upi..???
Anaandika BICHWA KOMWE โ๏ธโ๏ธโ๏ธ
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika.
Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16, baba yangu alinipeleka nchini uingereza kwa ajili ya masomo ya elimu ya Juu.
Nimekaa nchini uingereza kwa takribani miaka sita, nikatunukiwa shahada ya tatu yaani PhD katika chuo kikuu cha Oxford.
Mnamo mwaka 2015 nilirejea nchini Tanzania, nilibahatika kuolewa na Mmakonde mwenzangu. Elimu yake ni shahada ya kwanza.
Jamani yule kaka anapiga mauno!! Anyway, siri ya ndani.
Mama mkwe wangu ni Brigedia, mwanajeshi mstaafu. Kuna siku tulikuwa na sherehe ya kipaimara nikavunja chupa ya soda kwa bahati mbaya, jamani alinibutua makofi!!! Khaaa!
Kwa sasa nina watoto wanne wa kiume wote. Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.a
Acha uwongo huwezi kumaliza form 6 na miakaq 16 tanzania. Watoto wa sasa wanamaliza form 4 na miaka 16. Pili umesema umekaa uingereza miaka 6 ukapamaliza na PHD sio kweli. Acha uwongoAnaandika BICHWA KOMWE โ๏ธโ๏ธโ๏ธ
Kwa jina naitwa BICHWA KOMWE, mimi ni mtoto pekee katika familia ya kitajiri.
Baba yangu ni mzaliwa wa mtwara, mmakonde wa chitoholi. Mama yangu ni mmwera. Mama halisi wa Kiafrika.
Mimi ni Binti pekee katika familia yetu, ambapo, nilipofikisha umri wa miaka 16, baba yangu alinipeleka nchini uingereza kwa ajili ya masomo ya elimu ya Juu.
Nimekaa nchini uingereza kwa takribani miaka sita, nikatunukiwa shahada ya tatu yaani PhD katika chuo kikuu cha Oxford.
Mnamo mwaka 2015 nilirejea nchini Tanzania, nilibahatika kuolewa na Mmakonde mwenzangu. Elimu yake ni shahada ya kwanza.
Jamani yule kaka anapiga mauno!! Anyway, siri ya ndani.
Mama mkwe wangu ni Brigedia, mwanajeshi mstaafu. Kuna siku tulikuwa na sherehe ya kipaimara nikavunja chupa ya soda kwa bahati mbaya, jamani alinibutua makofi!!! Khaaa!
Kwa sasa nina watoto wanne wa kiume wote. Ahsanteni sana kwa kunisikiliza.
Hakuna Shaka...Tutaanza Kukuto****za Huo Ushuru Wa ForodhaUshuru wa forodha.
Selikavu hatimaye kijana kaungana na sisi gang gang๐คฃ๐Pisi ya Maghayo Busu la Kenge karibu tena Jf baada ya kifungo kirefu .
Maghayo Leo litafurahi ni Sherehe kwa sisi Mongolian Gang ;
Cc : The Mongolian Savage
Ghayo TheMongo Barbarian
Nimesoma international school.