Tumesoma vitu vingi kuhusu historia, tumesikia pia zikisilimuliwa ila zipo ukisikia unahisi kama kuna namna kuna kipande kilipindishwa na ukweli wake kufichwa.
Mfano mie kila nikisikia kuhusu Maeneo fulani ya nchi yetu yenye vivutio kugunduliwa na wagezi huwa naona kuna uongo kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.