Historia fupi ya marehemu

Ndio. Shundi. Ushasahu wakati ule hajawa kiongozi wa faru wenzie alikua na hiyo nyumba ndogo?

Alipokua kiongozi kaanza vurugu kamsahau nyumba ndogo. Nae akamloga ili afeli afukuzwe pori. Wakose wote.

Nyumba ndogo zina mabalaa sn ambiere
 
FARU JOHN.jpg



Kafufuka amekuja kivingine kama nyie vidume mkaribieni tena.
 
Back
Top Bottom