Hisia zangu; nakukata huku nenda kule kagombee uprezidaa nitakupa billion’s of money.

Hisia zangu; nakukata huku nenda kule kagombee uprezidaa nitakupa billion’s of money.

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
3,712
Reaction score
11,611
Wakuu, ni hisia zangu tu,wamba wamechekecha wakaona kuna mmoja inaonyesha raia wanamkubali, tufanyaje? Tutengeneze movie, kata huku nenda kule. katika zile 700 kuna kafungu kako.


1754801470147.png
 
Atateuliwa ubunge viti maalumu, na uwaziri juu.
Nchi ya tanzagiza na comedy yao. Lol
 
Hii approach haichuji tu. yaani joka wanalilea wanalitengeneza wenyewe kwa ukali wa bandia halafu, wanalitupa nje, kwa kuwa raia hupenda huo,ukali basi hulipokea kwa matumaini.

cha msingi upinzani wajifunze kutengeneza viongozi ndani ya domain yao na kuwaamini fullstop.
 
Back
Top Bottom