Eeka Mborro Sah!
Iwapo hii nayo ni ishu basi hata hili jina la wenyeji wazawa wa mwanza na shinyanga - wasukuma - nalo ni ishu (kufuatana na mapigo ya thread)
Mwanza hiyo sijui msukuma huyo
moshi kuna wakina Mboro.Hata kwetu Ukerewe kuna watu wanaitwa Makende. Tatizo nini wabantu?
Na ndio ukoo wangu! Mboya ni akina Mborro haohao na maana ya Mborro kichagga ni risasi.hata kwetu
moshi kuna wakina Mboro.
SAWA bwana mboro.Na ndio ukoo wangu! Mboya ni akina Mborro haohao na maana ya Mborro kichagga ni risasi.
Kwani hilo nalo "halina ladha", hebu dokeza maana yake? hahahahUsishangae sana Mkuu.
Kuna watu huko Tunduru Wanaitwa MBANA, na nilisoma na binti mmoja anaitwa TULITO...mtoto wa Mzee Mbana. Full name ni TULITO MBANA.
[emoji122] [emoji122]mawazo machafu si mema kwa afya yako. Si ni jina tu au?? Kwetu kuna ukoo unaitwa mboro na ni wengi tu
Aikha mbe maEeka Mborro Sah!
walofika mwanza ndo wanasemaga wamelala stand kwa hali hiyo