Hillary Clinton akumbwa na Ugonjwa Ghafla

Hillary Clinton akumbwa na Ugonjwa Ghafla

Yaani Trump ni kama ile migari ya Jeshi kipindi kile tulikua tunaiita 'Jafongo'.
Linakatiza na kupasua misitu bila ya wasiwasi.
 
Anazuga tu...kukwepa kauli yake mbovu ya kuwa nusu ya mashabiki wa Trump ni 'pathetic'...ila naona na uzugaji wake nao uta'backfire'. Trump yuko tayari kutoa taarifa zake za afya hadharani.
 
12833678.jpg.size.xxlarge.promo.jpg

Hillary Clinton's health had been a campaign subplot, but now it's the main story. Clinton was diagnosed with pneumonia last Friday, but her campaign didn't say anything about it until after the candidate had to leave a 9-11 commemoration ceremony on Sunday.

The campaign promised on Monday to release more medical information, but in the meantime questions remain: What else may be wrong with her? Is it fair to say she had been suppressing the truth about her health? Or does the relative non-severity of the ailment prove that Clinton never had much to hide.
''Early to bed, early to rise, makes you healthy, wealthy & wise''.
 
Tangu lini Mzungu akawa Mama yako? Akitokea akasoma ulichoandika anaweza akafa kabisa kwa mshituko!
 
Clinton hana lolote ni kick tu za kisiasa, et! aonekane kuwa ameguswa na msiba wa 9/11 ili ajenge ushawishi kwa wapiga kura, unacheza na siasa wewe, siasa unaweza kujifanya hata umekufa ili wakupigie kura. Kwanza mama lenyewe jasusi kucheza ile muvi pale mbele ya majasusi wenzake na kujifanya kama ka paralysis na walinzi kumdaka. Sio mageni hayo katika siasa.

THINK BIG.

Tukio lenyewe wamelipanga wao wenyewe na bushi wao,alaf wanajitoa ufahamu etii...
 
Trump nae hatabiriki kwenye uogozi wake utakuaje! Asije akabana $ kama shilingi yetu
 
Umewahi ona mzungu JamiiForums?

Ndiyoo..tena Wapo wengi mbona..akina Nyani na wenzake, na isitoshe wanapokea vyandarua vya msaada kila Raisi aingiaye madarakani....this time akikamata trump sijui atawaletea msaada upi.....
 
na ww usijadanganya mwanamke hawezi kuwa rais wa marekani ni sawa na ww uje kuongoza kuwa na Likes nyingi Jamii forum

Ha ha haaa usije ukakimbia siku ya matokeo!

Uwezekano wa mweusi kutawala ulikuwa mgumu zaidi kuliko mwanamke mweupe.

Leo hii tunaongelea mengine, msikilise Michelle Obama kwenye zile hotuba zake kwenye kampeni
 
Magufuli jembe alipiga kampeni bila HATA kuugua upele, inaonesha alikula mbute sana utotoni. Kweli yuko poa, Mola amjalie.

Narudi kwenye mada Mzungu na mwana siasa hawaaminiki
Acha uwongo wako Hapa!!
 
Huyu mama mwishoni mwishoni mwa uwaziri wake wa mambo ya nje, aliwahi kuanguka ofisi akabamiza kichwa - walijaribu kufanyia matibabu lakini toka wakati huo hali yake haikutengemaa kabisa ndiyo maana akumbwa na mild kifafa na matatizo mengine ikiwemo Parkinsons ambayo imekwisha muanza - wakati mwingine anapoteza fahamu lakini hilo wapambe wake wanataka lisijurikane wanatoa uongo mbali mbli badala ya kumpeleka hospitalini akafanyiwa uchunguzi wa kina na kumshauri ahachane na masuala ya kuwania Urais ajitibie na ku retire active Politics - kazi hiyo amkabidhi Sanders au Biden - sijui kwa nini anataka kuwa kig'ang'anizi - ajikubali kwamba ana matatizo. Juzi hapa nilitoa mapendekezo kama hayo watu wakataka kunitoa macho - sasa sijui tukio la leo watatoa kisingizio gani?
Ulikuwepo wkt anabamiza kichwa chini??
 
Hata ishu ya jana kama isingerekodiwa kwenye video watu wasingeambiwa ukweli.

Ila ndo mambo ya ugonjwa hayo.

Mwishowe huwa hayafichiki.
Mara hii umemgeuka Hillary Kweli nimeamini ...Ngabu si wa kukutegemea anytime unachange like chamilion
 
Mara hii umemgeuka Hillary Kweli nimeamini ...Ngabu si wa kukutegemea anytime unachange like chamilion
Wala sijamgeuka. Nimesema ukweli tu.

Lakini kwa vile mara nyingi ukweli huwa ni mchungu ndo maana unaona kama nimemgeuka!

Bibi ni mgonjwa huyo.
 
Back
Top Bottom