Hillary Clinton akumbwa na Ugonjwa Ghafla

Hillary Clinton akumbwa na Ugonjwa Ghafla

Magufuli jembe alipiga kampeni bila HATA kuugua upele, inaonesha alikula mbute sana utotoni. Kweli yuko poa, Mola amjalie.

Narudi kwenye mada Mzungu na mwana siasa hawaaminiki
 
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amelazimika kuahirisha ziara yake ya kuchangisha fedha katika jimbo la California baada ya vipimo kuonyesha ana ugonjwa wa homa ya mapafu, baada ya kujisikia vibaya wakati alipohudhuria shughuli ya kumbukumbu ya mashambulizi ya septemba 11 na kuibua upya uvumi kuhusu afya yake wiki sita tu kabla ya uchaguzi mkuu. Je, Hillary Clinton ataweza kuwa na nguvu ya kuendelea na kampeni za uchaguzi?

Source. DW swahili
Usiempenda kaja. Trump ashachukua nchi
 
Na ndiye Illuminati waliyempanga for presidency.Very unfortunate for them.Lakini kwa technology walizonazo I believe sio shida,atapona.
 
Hamna Hillary afya yke haipo poa kama unafuatilia hotuba zke anakohoa sana nk ,inajulikana waz afys yke haipo poa ila anasema yupo poa ila juzi ndio yamemuumbua ,skisema overheat alipata
 
Magufuli jembe alipiga kampeni bila HATA kuugua upele, inaonesha alikula mbute sana utotoni. Kweli yuko poa, Mola amjalie.

Narudi kwenye mada Mzungu na mwana siasa hawaaminiki
ahaaaaaaaa mbute kwa karanga
 
Nimeiona hii incidence live kwenye BBC, mmmh tatizo la afya ya huyu mama inaweza kuwa zaidi ya pneumonia, maana wakati wa wanamwingiza kwenye gari alikuwa anatetemeka na akaanguka! Walinzi walijitahidi kuziba ili incidence isionekane vizuri lakini wapiga picha walipata part ya kilichotokea.

Huyu mama mwishoni mwishoni mwa uwaziri wake wa mambo ya nje, aliwahi kuanguka ofisi akabamiza kichwa - walijaribu kufanyia matibabu lakini toka wakati huo hali yake haikutengemaa kabisa ndiyo maana akumbwa na mild kifafa na matatizo mengine ikiwemo Parkinsons ambayo imekwisha muanza - wakati mwingine anapoteza fahamu lakini hilo wapambe wake wanataka lisijurikane wanatoa uongo mbali mbli badala ya kumpeleka hospitalini akafanyiwa uchunguzi wa kina na kumshauri ahachane na masuala ya kuwania Urais ajitibie na ku retire active Politics - kazi hiyo amkabidhi Sanders au Biden - sijui kwa nini anataka kuwa kig'ang'anizi - ajikubali kwamba ana matatizo. Juzi hapa nilitoa mapendekezo kama hayo watu wakataka kunitoa macho - sasa sijui tukio la leo watatoa kisingizio gani?
 
Hata ishu ya jana kama isingerekodiwa kwenye video watu wasingeambiwa ukweli.

Ila ndo mambo ya ugonjwa hayo.

Mwishowe huwa hayafichiki.
 
Kwani yeye siyo binadamu kuwa asiumwe?

Hata machofu yanaweza kumfanya akatakaka kuanguka, kampeni siyo mchezo katika umri wake (68)

Kwani Reagan aliwania Urais akiwa na umri gani? Je, alikuwa na matatizo ya kiafya kama ya Bi Clinton.

Ingekuwa Trump ndiye mwenye matatizo ya kiafya, saa hizi MSM na ma neocon wangemshinikiza akapumzike - wange hitisha maadamano nchi nzima - watu kama wameweza kufikia hatua za kumshinikiza Mmiliki wa Google ampendelee Clinton i.e search results zisitoe taarifa sahii kuhusu Afya ya mama huyo - uki-search inakupa majibu majibu ya kihuni tu!!! - watu/wataalamu wamemlalamikia mmiliki wa Google lakini inaelekea masikio kaweka pamba.

Kwani uchaguzi wa mwaka huu huko Marekani unanini lakini, kwa nini hawataki watu wapate habari sahii na siyo za kupika - kinacho shangaza zaidi Uncle SAM ndiye ujifanya Baba wa kutetea demokrasia Duniani, wanalahumu third World kwa kukosa demokrasia na vote rigging wakati wao wanafanya ujinga huo huo hasa katika kampein za mwaka huu - wamepania kulazimisha mambo.
 
Hata ishu ya jana kama isingerekodiwa kwenye video watu wasingeambiwa ukweli.

Ila ndo mambo ya ugonjwa hayo.

Mwishowe huwa hayafichiki.

Mtu anaonekana anapatwa fits wakati anakaribia van wasingemuwahi angeweza kubamiza kichwa tena, halafu wanakuja kuzuga watu eti joto kwenye sherehe lilizidi na kusababishia matatizo - wakati hiyo si kweli hata kidogo? Baadae AFp ikaondoa video clip mtandaoni ili isionekane baada ya kupata shinikizo!! Mambo gani haya? - Trump anapashwa kuwa makini sana - jamaa hawa ni hatari sana?
 
Back
Top Bottom