Ethos
JF-Expert Member
- Aug 1, 2015
- 2,294
- 2,111
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani kupitia chama cha Democratic Hillary Clinton amelazimika kuahirisha ziara yake ya kuchangisha fedha katika jimbo la California baada ya vipimo kuonyesha ana ugonjwa wa homa ya mapafu, baada ya kujisikia vibaya wakati alipohudhuria shughuli ya kumbukumbu ya mashambulizi ya septemba 11 na kuibua upya uvumi kuhusu afya yake wiki sita tu kabla ya uchaguzi mkuu.
Je, Hillary Clinton ataweza kuwa na nguvu ya kuendelea na kampeni za uchaguzi?
Source. DW swahili
Je, Hillary Clinton ataweza kuwa na nguvu ya kuendelea na kampeni za uchaguzi?
Source. DW swahili