Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,187
- 144,023
Ujinga ni mbaya sana. Na unakuwa mbaya zaidi kama mtu akiwa mjinga na hajui kuwa hajui yeye ni mjinga.
Sasa, ujinga siyo tusi. Ujinga ni ile hali ya kutokujua kitu ama jambo fulani. Hivyo ujinga unafutika. Unafutika kwa kuelimishwa au kufahamishwa.
Katika uchaguzi mkuu wa Marekani uliofanyika mwezi jana kulikuwa na habari nyingi sana zilizokuwa za uongo.
Habari hizo zilikuwepo kwa pande zote lakini kwa huku kwetu habari feki iliyobamba sana ilikuwa ni ya Trump kuwasema vibaya Waafrika na kwamba eti bado wanahitaji kutawaliwa.
Habari ile ilikuwa ni ya uzushi mtupu. Trump hajawahi kabisa kusema hayo maneno popote pale. Lakini kwa bahati mbaya kwa vile Afrika bado baa la ujinga ni kubwa sana, watu walioamini kuwa kweli aliyasema hayo maneno ni wengi.
Sasa huyu bibi aliyebwagwa na Trump majuzi hapa naye kaibuka kulalamikia hizo habari feki.
Wakati wa kampeni kuliibuka uzushi kuwa yeye [Hillary] anahusika na mambo ya 'child sex ring'. Kwa hiyo eti yeye ni child sex trafficker.
Wikileaks Pretty Sure Hillary Clinton Is A Child Sex Trafficker Now, It Is Just Obvious
Na kusema ukweli kuna watu walioamini huo upuuzi kama ambavyo wapo walioamini kwamba Trump alisema yale maneno kuhusu Waafrika.
Huyu hapa bibi akilalamika kuhusu fake news.
Nguruvi3 The Boss Mag3 Bukyanagandi