Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,166
- 2,670
Sasa wenzangu wanaJF, naogopa hata kulizungumzia hili tukio maana ni kikao kilichonipa aibu hata ya kuonesha sura yangu hadharani kimataifa maana imekaa kikwetukwetu vile
Hebu sikia hili:
Walikutana madaktari wa China, Ujerumani na Tz.....kuelezea mafanikio waliyofikia katika nchi zao, Daktari wa Ujerumani akasema, "Kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali tatu za dhahabu", Wa China akaleta la kwao akasema, "Sisi kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamweka bandia sasa ni mcheza kareti maarufu sana duniani", sasa wa Tz akacheka kwa dharau sana na kwa mbwembwe za kibongo na kumalizia kwa kusema,"Aaah! hamjatufikia sisi, kwetu alizaliwa mtoto Bagamoyo hana kichwa tukamwekea boga sasa ni Rais".
Kaaazi kweli kweli!