Sisi timu kibakuli tunatafuta mafanikio yetu hatushirikiani naye
Nafasi bado mnayo mambo yote yapo YouTube.Kwa sisi ambao hatukwepo na hatukuwa live ngoja tusome tu comments
Tusio na Penseli tunacomment wapi?
Kwa kweli jana ndo nimeamini Daslama ina watu wengi,can u imagine ile umati haifiki hata robo ha wakazi hili jiji,yani kwamba kuna watu wengi zaidi walibaki nyumbani wakifatilia live lile show la kiume tangu kuumbwa kwa Tanzania.
Bila picha ni umbea
Kusaga ahusiki hapo kabisa.Ah ah watanzania bana rahisi sanakuwacontrol ukiwajua kwasababu ya usahaulifu...nani kakwambia diamond hayupo himaya ya clouds...unamjua joseph kusaga wewe aka suge knight
Acha kuteseka wamwiseFiesta ni kiboko yao!
Kiba ana akili sana, kwa hiyo alitaka ampandishe hapo jukwaani halafu dakika 3 wamwambie muda umeisha, na si bure DJ angeweka muziki kwa mikwaruzo mikwaruzo mwanzo mwisho. Sasa hapo hajammaliza kisanii hata kama angempa milioni 10, huyu mtu janja janja nyingi sana.
Nimeuliza swali mremboUnauliza swali au unajibu swali kwa maana nmeuliza tu
umewahi kuwa VIP matukio mangap ndo ukafanya mlinganisho ukaona ni nomaNilikuwa VIP nilikuwa nacheki kila kitu
Huyu ferouz nilijua kwangu tu aliboa sana janaMwisho wa siku its all about business...
Kilichopendeza ni ile style ya wasanii wa zamani kuimba nyimbo zao, alafu nyimbo ya mwisho anaimba aliyo fanya collabo na msanii mwingine alafu huyo msanii hujitokekeza... safi sana...
Ferouz alizingua, alikua haimbii kitu, playback mwanzo mwisho mpaka Jay alivyoingia...
Nimefurahi kuwaona wasanii wa zamani... safi sana...
Cc: mahondaw
Maneno ya mashoga/mabinti hayo. Nakushauri uacheUmeshapanic!
Uhusiano upo km unakumbuka Lampard alichukuliwa na new York city lkn muda wa kuanza kucheza bado alienda kubypass muda man city sababu ni hizo timu zina mmiliki mmoja.Narudia tena, entity tofauti kabisaaaaa. Mmiliki wa timu ya arsenal fc ya uingereza anamiliki pia timu huko marekani ya american football. Haiaanishi arsenal na hiyo timu zina uhusiano.