Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Diamond alikusanya watu wengi wengi sana
Kwa kweli jana ndo nimeamini Daslama ina watu wengi,can u imagine ile umati haifiki hata robo ha wakazi hili jiji,yani kwamba kuna watu wengi zaidi walibaki nyumbani wakifatilia live lile show la kiume tangu kuumbwa kwa Tanzania.
 
Ah ah watanzania bana rahisi sanakuwacontrol ukiwajua kwasababu ya usahaulifu...nani kakwambia diamond hayupo himaya ya clouds...unamjua joseph kusaga wewe aka suge knight
Kusaga ahusiki hapo kabisa.
 
Kiba ana akili sana, kwa hiyo alitaka ampandishe hapo jukwaani halafu dakika 3 wamwambie muda umeisha, na si bure DJ angeweka muziki kwa mikwaruzo mikwaruzo mwanzo mwisho. Sasa hapo hajammaliza kisanii hata kama angempa milioni 10, huyu mtu janja janja nyingi sana.

Usisahau pia na angezimiwa Maiki zikishapita Dakika 2 na sekunde 59
 
" Ni zaidi ya mafuriko ya Lowassa" nimecheka sana sijui kwa nini 😂😂😂
 
Mwisho wa siku its all about business...

Kilichopendeza ni ile style ya wasanii wa zamani kuimba nyimbo zao, alafu nyimbo ya mwisho anaimba aliyo fanya collabo na msanii mwingine alafu huyo msanii hujitokekeza... safi sana...

Ferouz alizingua, alikua haimbii kitu, playback mwanzo mwisho mpaka Jay alivyoingia...

Nimefurahi kuwaona wasanii wa zamani... safi sana...


Cc: mahondaw
Huyu ferouz nilijua kwangu tu aliboa sana jana
 
Wewe haujawawahi kuhesabu Masaa wanayo tumia wale jamaa wa kazkazini wanajiita weusi wakiwa Fiesta! Itabidi na Fiesta iitwe KAZKAZINI Fiesta maana pale kuan Weusi na wale achekeshaji na Whoazu yaani ukiwa unatoka moshi na Arusha basi fiesta ni mali ya baba. Sasa Mondi ndio nguzo ya WCB pia ana muda mrefu hajaburudisha DAR. Mondi masaa2 ni machache maana ananyimbo za miaka 10 sasa ulitaka Lavalava apwew wiki? Acha wifu wewe tafuta bwana akukwangue ebo
 
Narudia tena, entity tofauti kabisaaaaa. Mmiliki wa timu ya arsenal fc ya uingereza anamiliki pia timu huko marekani ya american football. Haiaanishi arsenal na hiyo timu zina uhusiano.
Uhusiano upo km unakumbuka Lampard alichukuliwa na new York city lkn muda wa kuanza kucheza bado alienda kubypass muda man city sababu ni hizo timu zina mmiliki mmoja.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom