Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

mimi loser ms bigotries?
Akili zangu kubwa sana ndio maana wewe na mumeo hakuna mnachoweza kunizidi and I'm sure of that.

Ukweli gani useme wewe hujui kitu watu tuko kwenye hii tasnia tunaelewa nini kilifanyika everything was under control na watu waliuwa.

Lights zilikuwa heavy.
Sound ya kibabe.
DJs makini.
Drummers wa maana.
Pianists wa kufa mtu.
Stage la kimataifa.

Wasanii walipangwa kimtiririko mzuri hakuna kilichoboa msanii kama mzee wa bwax, amber lulu, gigy mapesa na sholo mwamba kupanda kwenye stage kama ile unafikiri mchezo masikini wewe?

Endelea kutufatilia hutaweza kuacha maana tunajua huna namna
amber lulu na gigy money ni wasanii???
 
Mliohudhuria wasafi kama kuna mtu anamjua huyu dada aende akapime
FB_IMG_15733731101206686.jpeg
 
Mwisho wa siku its all about business...

Kilichopendeza ni ile style ya wasanii wa zamani kuimba nyimbo zao, alafu nyimbo ya mwisho anaimba aliyo fanya collabo na msanii mwingine alafu huyo msanii hujitokekeza... safi sana...

Ferouz alizingua, alikua haimbii kitu, playback mwanzo mwisho mpaka Jay alivyoingia...

Nimefurahi kuwaona wasanii wa zamani... safi sana...


Cc: mahondaw
Wasanii wazamani(kizazi cha dhahabu) wamenifikirisha sana mkuu yn ngoma zao bd zpo moyoni kwa watu nawatu wanazipenda sana sasa nashindwa kuelewa hawa jamaa walikwama wapi mana wengiwao wamepotea kabisa nakwasasaiv kila wanavyojaribu kuzaliwa upya ngoma inakataa sasa najiuliza nikwamba uwezo wao wakutunga manyimbo makali umepotea ama vp mana kama nisaport sisi tunachohitaji ninyimbo nzr tu hatuangalii inaujumbe gani, nyimbo yko itapenya tu
 
Nan kakwambia humu kuna mtu atakuwa offended kwa maneno?
Yaan wewe unabishana na kila mtu humu kuhusu wasafi festival hujion kama una shida?
Hebu rudi ufunzwe na wazazi kwanza maana huna adabu kabisa kijana.
Mimi nikufunze wewe mwenye chuki janamke gani wewe usiejielewa badala ushoboke angalau utoe kimaso maso ka ukoo kenu tukajadili humu unakalia majungu.

Shauri yako na hivi una sura mbovu shape namba saba million 5 tu kuipata wewe na mume wako hadi mkope na mkishakopa ni mwendo wa ugali na sukuma wiki hadi deni liishe mamaako!

Nabishana na haters yani anamchukia mondi alafu jana kaangalia tamasha mwanzo mwisho huyo ni hater au mpenzi hater
 
Kwanza mmepunguza kiingilio mpaka 5000 wakati wasafi wameweka 10000, 500000 na mil 1 na wamejaza mpaka wengine wameshindwa kuingia kwenye show uoni ni aibu kuongea hiyo kauli yako.
Haufatilii Ila unashabikia, mahaba yakizidi huleta upofu na kufunga uwezo wa kufikiri, hapakuwepo na kiingilio Cha 1m.
 
Back
Top Bottom