Hili tamasha la Wasafi nadhani liitwe Diamond Festival na sio Wasafi Festival

Team Mumkomeeee oyeeee
Kwahyo akiwa n.a. viewers wengi ndo nin watu wengi wamenunua ticket kwasab ya BRAND lakini kiukwel kilicho fanyika sijaona yan bado wanahitaj experience zaid yan bado sijaona balaa zito jana halikuepo
 
Huyu ferouz nilijua kwangu tu aliboa sana jana

Hakika alitukosea sana...

Pumzi alikua hana, kuzunguka jukwaa huku na kule...

Playback mwanzo mwisho... Jay alikua anakwenda na beat tu...

Amber Rutty alikua anawaza tabia mbaya tuu...


Cc: mahondaw
 
Wasanii wazamani(kizazi cha dhahabu) wamenifikirisha sana mkuu yn ngoma zao bd zpo moyoni kwa watu nawatu wanazipenda sana sasa nashindwa kuelewa hawa jamaa walikwama wapi mana wengiwao wamepotea kabisa nakwasasaiv kila wanavyojaribu kuzaliwa upya ngoma inakataa sasa najiuliza nikwamba uwezo wao wakutunga manyimbo makali umepotea ama vp mana kama nisaport sisi tunachohitaji ninyimbo nzr tu hatuangalii inaujumbe gani, nyimbo yko itapenya tu

Haika... though kila zama na zama zake...

Ila nyimbo za zamanai bado zina mzuka sana... zinaujumbe kuntu na fikirishi...

Burudani mwanzo mwisho...


Cc: mahondaw
 
Dunia hii hakuna mtu wa kukupa opportunity inabidi uigrab mwenyewe.., ukipewa dakika tatu uzitumie hizo vyema ili ukifukuzwa mashabiki wakurudishe kwa kelele na kuzomea wanaokutoa...
You better lose yourself in the music, the moment
You own it, you better never let it go
You only get one shot, do not miss your chance to blow​
 
Siasa zimekujaje hapa wewe?
Sound unajua ilisimamiwa na nani?
DJ's walikuwepo wengi ni kila mmoja ana aina yake ya muziki, Ommy huwa ni mtu wa amsha amsha, Kidlax na Jacko hawa ni motooo sitaki kuwazungumzia.

Kuna wanyama wengine pale Dj lucky, DJ Y.O.B na DJ Delvik haki ya mzungu ukisikia playlist zao wewe sikiliza hata wasafi fm upagawe

Nadhani ulikuwa una stream YouTube ndio maana ungeangalia Tv au ukaenda uwanjani unamjua Tudd Thomas unamsikia wewe ndio sound engineer wa Simba sasa hivi.
Show ya kahama ya one man one mic ilikuwa yeye.
Hakika jana Simba aliuwa igweeeeee hutaki jinyonge brother maana utaendelea kuumia sana huku ukimfatilia
Ukiachilia mbali kwamba una sound kama mtoto wa kike wa uswahilini, pia unaonekana mweupe kinoma kichwani.

Unaulizwa unaitwa nani unajibu 'hujaoa bado upo shule'
 
Najaribu kufuatilia show ya Wasafi Festival grand finaly, what I see jamaa bado wana long way to go.

Kuna matchup na Fiesta maana hata arrangement yao ni hovyo plus wasanii wao wengi ni wale Old School tu.

Sasa sijui wameshindwa kulipa hawa curently artsist!
Old ndo wana vibe baba lao,unateseka...?
 
Si ndiyo maana tunashauri waliite Diamond Festival kuliko Wasafi Festival, Tamasha liwe wasafi halafu msanii mmoja masaa 3 mwingine dakika 2 🙄
Kila tamasha Kuna kuwa na mtu mzito ambaye lazima apewe dakika nyingi kuliko mwingine mbona fiesta ya 2014 nafikiri diamond alipewa dakika nyingi za kuperform kuliko msanii yoyote mbona ukusema fiesta ni ya diamond.
 
Back
Top Bottom