Hili tabasamu kumtoa nyoka pangoni..........................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,422
911,172
picgal090111_07.jpg

Sina usemi hapo...............................
 
Mdada akikwambia anakupenda na kukenulia meno kiasi hicho ujue umenaswa hakuna kupumua hapo.............................hakuna kiswahili.............................................subiri kunasuliwa mtegoni............................
 
inaelekea ana body ya kimodo pia....dah watoto wa kisudan wamejaliwa body sana.....kina Alek Wek......ila tukija kwenye kinyago....mmmmh
 
inaelekea ana body ya kimodo pia....dah watoto wa kisudan wamejaliwa body sana.....kina Alek Wek......ila tukija kwenye kinyago....mmmmh

Heeh.. nielimishe Preta, kinyago ndo nn. Nashindwa ku-cope na kasi za semi za kiswahili
 
inaelekea ana body ya kimodo pia....dah watoto wa kisudan wamejaliwa body sana.....kina Alek Wek......ila tukija kwenye kinyago....mmmmh
Asee, kama wewe vile isipokuwa nyago.......duh!!
kiwiliwili sawia, nyago no...tabasamu mmmh!!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom