Hili swali linaniumiza sana kichwa

Hili swali linaniumiza sana kichwa

Upendo nizaidi maneno,rejea nyimbo ya benpol moyo mashine na rayvan unaibiwa,utapata concept
 
Kama ana upendo wa dhati kwako hamna tatizo, manake waweza kuitwa majina yote bado akawa ni mnafiki, maamuzi yako kwako wewe mwenyewe.
 
Mi ninamchumba/mpenz ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhan kama miez kadhaa tu hv haifik 6...
Sasa huyu mwenzangu kama simuelew hv Sijui nimaumbile,,mazoea,,hanipendi yaan sielewi
Yaan kwake ningum kuniita mpenz, yaan majina tu ya kimapenz ningum akijitahid sana ananiita MY.....
Ajabu sasa mkiwa kitandani tena awe amedindisha nitaitwa majina yote...mpenz,,honey,,mke hata neno nakupenda nitaitwa....lkn katika hali ya kawaida ni ngum kuniambia ananipenda au kanimiss ...Mimi hua namwambia nakupenda na yeye ndio anajibu nakupenda pia ..
Nilishakaa nikiongea nae kesho yake akajitahid baada ya siku mbili akarudia tena kuniita ndugu yangu,,
Najiuliza swali labda mazoea au muoga au hana hisia namimi???
Wataka kupendwa kwa maneno au kwa vitendo.
Watu wengine wagumu kama D-Knob unaambiwa ni mgumu kiasi kwamba hata mkewe alimfuata siku moja akamwambia unaonaje kesho tukafunge ndoa.
Wakafunga na leo wako wote
 
Mi ninamchumba/mpenz ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhan kama miez kadhaa tu hv haifik 6...
Sasa huyu mwenzangu kama simuelew hv Sijui nimaumbile,,mazoea,,hanipendi yaan sielewi
Yaan kwake ningum kuniita mpenz, yaan majina tu ya kimapenz ningum akijitahid sana ananiita MY.....
Ajabu sasa mkiwa kitandani tena awe amedindisha nitaitwa majina yote...mpenz,,honey,,mke hata neno nakupenda nitaitwa....lkn katika hali ya kawaida ni ngum kuniambia ananipenda au kanimiss ...Mimi hua namwambia nakupenda na yeye ndio anajibu nakupenda pia ..
Nilishakaa nikiongea nae kesho yake akajitahid baada ya siku mbili akarudia tena kuniita ndugu yangu,,
Najiuliza swali labda mazoea au muoga au hana hisia namimi???
Tabia kama yangu hiyo aisee yani siwezigi tu hahaha
 
Achana nae njoo kwangu, mi naita majina ya kimahaba ya kila aina, I hope utaenjoy, lakin bahati mbaya sana pamoja na kuita majina hayo mazur, sijawahi kuwa na upendo na mwanamke aisee, labda wewe utabahatika
 
Mi pia nina shida hio siitwi bebi hadi apate tatizo, hebu njoo tuungane maana mi ni mtumiaji mzuri wa pet names nadhani utaendana na kasi yangu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Tushakua mwili mmoja.

Ndugu yangu chausiku. I love you
Hahahaha niemcheka bila kutarajia

Una hatari, ndugu yako ni yule asiyeweza hata kujua maumbile yako wewe yako vipi sasa mtu mnajuana had madhaifu yenu mnaitanaje ndugu ndio mana hata kidini kwetu sisi huwez kumuita mkeo mama wala mume aitwe baba ukiita hivo ni talaka tayari
 
Ila jamaa katisha saaana. Eti ndugu yangu chausiku.

Kwani kuna shida gani kuitwa MY?? Haha inatosha bwana. Tena kajitahidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom