habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,789
- 8,753
Nimekukosha eeenhHehehehehe
Nimekukosha eeenhHehehehehe
Mi ninamchumba/mpenzi ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhani kama miezi kadhaa tu hivi haifiki 6 sasa huyu mwenzangu kama simuelewi hivi sijui nimaumbile,mazoea,hanipendi yaani sielewi.
Yaani kwake ningumi kuniita mpenzi, yaani majina tu ya kimapenzi ningumi akijitahidi sana ananiita MY ajabu sasa mkiwa kitandani tena awe amedindisha nitaitwa majina yote mpenzi,,honey,mke hata neno nakupenda nitaitwa lakini katika hali ya kawaida ni ngumu kuniambia ananipenda au kanimiss mimi hua namwambia nakupenda na yeye ndio anajibu nakupenda pia.
Nilishakaa nikiongea nae kesho yake akajitahid baada ya siku mbili akarudia tena kuniita ndugu yangu najiuliza swali labda mazoea au muoga au hana hisia namimi???
Inaonyesha ndio ulivyofanya jana uckuNimekukosha eeenh
Hapana mkuuInaonyesha ndio ulivyofanya jana ucku
Mchana utapata watt wa kike tuHapana mkuu
Kwanza huwa napenda kufanya mchana, usiku ni kuchapa usingizi tu
Hahahaha muda kutafuta watoto bado, kwa sasa naburudisha nafsi tuMchana utapata watt wa kike tu
Vya usiku vitamu ww...unakosa uhondoHahahaha muda kutafuta watoto bado, kwa sasa naburudisha nafsi tu
Mkuu nitajaribu siku moja kufanya usiku nione utamu wakeVya usiku vitamu ww...unakosa uhondo
Hakupend were Bali anapenda kitu ambacho kinafataMi ninamchumba/mpenzi ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhani kama miezi kadhaa tu hivi haifiki 6 sasa huyu mwenzangu kama simuelewi hivi sijui nimaumbile,mazoea,hanipendi yaani sielewi.
Yaani kwake ningumi kuniita mpenzi, yaani majina tu ya kimapenzi ningumi akijitahidi sana ananiita MY ajabu sasa mkiwa kitandani tena awe amedindisha nitaitwa majina yote mpenzi,,honey,mke hata neno nakupenda nitaitwa lakini katika hali ya kawaida ni ngumu kuniambia ananipenda au kanimiss mimi hua namwambia nakupenda na yeye ndio anajibu nakupenda pia.
Nilishakaa nikiongea nae kesho yake akajitahid baada ya siku mbili akarudia tena kuniita ndugu yangu najiuliza swali labda mazoea au muoga au hana hisia namimi???
Ila upunguze kupiga kelele ucku sauti inaenda mbaliMkuu nitajaribu siku moja kufanya usiku nione utamu wake
Miguno ya taratibu inanogesha na kuleta hamasa hasa ukitumia ile tune adimu kwa kuita jina langu Habari ya hapaIla upunguze kupiga kelele ucku sauti inaenda mbali
Hebu niache kwanzaMiguno ya taratibu inanogesha na kuleta hamasa hasa ukitumia ile tune adimu kwa kuita jina langu Habari ya hapa
Kwani nimekushika?Hebu niache kwanza
Kudos MentorKuna kitu kinaitwa love language. Nadhani ndicho kinakusumbua.
Ni vyema mkakaa pamoja mkazungumza juu ya love language zenu (jinsi mlivyozoea kuexpress love na jinsi unavyopenda kuipokea).
Kwa haraka, love language yako ni 'words of affirmation' hivyo mwenzio hata akikununulia zawadi. Akikushika, etc bila kukutamkia maneno yanayoonesha upendo wake kwako, hujaridhika bado. Jitahidi msome pamoja juu ya hili ili kufahamiana zaidi.
Pili, kama akidindisha anatamka maneno ambayo anapenda uyasikie maana yake anajua love language yako na huenda;
A) sio njia yake ya kuonesha upendo ila anafanya kukuridhisha ila ni mvivu kukumbuka kufanya hivyo kila wakati. Mtu wa hivi unapaswa kumkumbusha mara kwa mara, kwa upendo kuwa ukisikia his affirmation of his love to you, you feel more loved. Zungumzeni ujue na yeye language yake kisha mboreshe mapenzi yenu - hapa nimewaza kama anakupenda kweli.
B) huenda anajua fika love language yake ila upendo nawe hana. Anakutamani. Anajua wakati wa kutumia hiyo lugha pale anapokuhitaji. Wakati hana shida na wewe haoni umuhimu wowote. Kwa mtu wa hivi nakushauri mkimbie maana ni rahisi kukufanya mfungwa. Atakuaminisha kuwa hakuzoea, ataitumia tu pale akiwa na haja na wewe (hii pattern itajirudia, so ni rahisi kuinote - kama ambavyo umeigundua na kuielezea vyema hapa).
Mwisho, acha ngono..pamoja na jamii kuifanya ngono ni kitu cha kawaida..lakini ngono imewafanya wadada wengi kuwa kwenye mahusiano mfu, hayana mipango ya mbali zaidi ya kuwaza style mpya. Kama una lengo la kuwa mke wa mtu siku za mbeleni, achana na ngono katika mahusiano. Hasa haya ya miezi miwili sijui.
Ukiondoa ngono kwenye mahusiano mengi (kwa wote wa kiume na ke) ni rahisi kujua kama uhusiano huo una future ama la. Ngono ina nguvu kubwa sana kulivyo tulivyoirahisisha.
[emoji23] [emoji23]Njoo kwangu Nina majina mengi ya mahaba nitakayo kuita tena bila ya kudindishwa