Hili swali linaniumiza sana kichwa

Hili swali linaniumiza sana kichwa

Mi ninamchumba/mpenz ambae hatuna muda mrefu tuko katika relation nadhan kama miez kadhaa tu hv haifik 6...
Sasa huyu mwenzangu kama simuelew hv Sijui nimaumbile,,mazoea,,hanipendi yaan sielewi
Yaan kwake ningum kuniita mpenz, yaan majina tu ya kimapenz ningum akijitahid sana ananiita MY.....
Ajabu sasa mkiwa kitandani tena awe amedindisha nitaitwa majina yote...mpenz,,honey,,mke hata neno nakupenda nitaitwa....lkn katika hali ya kawaida ni ngum kuniambia ananipenda au kanimiss ...Mimi hua namwambia nakupenda na yeye ndio anajibu nakupenda pia ..
Nilishakaa nikiongea nae kesho yake akajitahid baada ya siku mbili akarudia tena kuniita ndugu yangu,,
Najiuliza swali labda mazoea au muoga au hana hisia namimi???
Unapenda kudekezwa sana. Acha mapenzi ya Kifilipino.
 
Kuna kitu kinaitwa love language. Nadhani ndicho kinakusumbua.
Ni vyema mkakaa pamoja mkazungumza juu ya love language zenu (jinsi mlivyozoea kuexpress love na jinsi unavyopenda kuipokea).

Kwa haraka, love language yako ni 'words of affirmation' hivyo mwenzio hata akikununulia zawadi. Akikushika, etc bila kukutamkia maneno yanayoonesha upendo wake kwako, hujaridhika bado. Jitahidi msome pamoja juu ya hili ili kufahamiana zaidi.

Pili, kama akidindisha anatamka maneno ambayo anapenda uyasikie maana yake anajua love language yako na huenda;

A) sio njia yake ya kuonesha upendo ila anafanya kukuridhisha ila ni mvivu kukumbuka kufanya hivyo kila wakati. Mtu wa hivi unapaswa kumkumbusha mara kwa mara, kwa upendo kuwa ukisikia his affirmation of his love to you, you feel more loved. Zungumzeni ujue na yeye language yake kisha mboreshe mapenzi yenu - hapa nimewaza kama anakupenda kweli.

B) huenda anajua fika love language yake ila upendo nawe hana. Anakutamani. Anajua wakati wa kutumia hiyo lugha pale anapokuhitaji. Wakati hana shida na wewe haoni umuhimu wowote. Kwa mtu wa hivi nakushauri mkimbie maana ni rahisi kukufanya mfungwa. Atakuaminisha kuwa hakuzoea, ataitumia tu pale akiwa na haja na wewe (hii pattern itajirudia, so ni rahisi kuinote - kama ambavyo umeigundua na kuielezea vyema hapa).

Mwisho, acha ngono..pamoja na jamii kuifanya ngono ni kitu cha kawaida..lakini ngono imewafanya wadada wengi kuwa kwenye mahusiano mfu, hayana mipango ya mbali zaidi ya kuwaza style mpya. Kama una lengo la kuwa mke wa mtu siku za mbeleni, achana na ngono katika mahusiano. Hasa haya ya miezi miwili sijui.

Ukiondoa ngono kwenye mahusiano mengi (kwa wote wa kiume na ke) ni rahisi kujua kama uhusiano huo una future ama la. Ngono ina nguvu kubwa sana kulivyo tulivyoirahisisha.
 
Umenishaur vizur sana ....asante sasa nitajuaje kama ni A au B.....nilishazungumza nae sana akafanya kama siku 2 akaacha
 
Binafsi nipo kama huyo jamaa yako, mwanzo wa mahusiano nakuwa mzito sana kuita hayo majina... Play your part effectively halafu baada ya muda naamini utaona mabadiliko
 
Miez karibia 6 sasa jmn
 
Si bora hata unaitwa my, ndg yng, watu tunaitwa wee dogo au wee mwanamke na Maisha yanasonga na mapenzi ya dhati unayaona ndani yake na malengo yenu mnatimiza, anaweza akakuita kila aina ya jina LA kimahaba na bado akawa mbafki, so wewe tulia acha kulilia majina
 
Haaaaa awe mpole tu na atambue kuitwa majina ya kimapenzi siyo kipimo cha upendo
 
Njoo kwangu Nina majina mengi ya mahaba nitakayo kuita tena bila ya kudindishwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom