- Thread starter
- #21
Waambie hao au walikuwa mapadri ndo maana hawazijui hizo angle.Mbona sioni tatizo maana mleta mada alikuwa first year. Hata mimi binafsi naweza kuwa na mwanafunzi wa A level, hawa wanachuo nakaa nao wala siwakubali kivile labda sijakutana na wakunibadilisha mentality yangu. Sanasana nafidia kwa kuwa interested na wanaosoma diploma. Labda nifike 3rd year ndo niweze kutazama 1st au 2nd.
Hata hivo niko single.