Hili suala ilinichekesha Sana

Hili suala ilinichekesha Sana

Kwani Kuna tatizo gani mwanafunzi wa chuo akawa na uhusiano na mwanafunzi wa A-level au O-level mbona hata kwenye mashuleni kulikuwa na mahusiano ya mapenzi.
images.jpeg

30 years
 
Kwani Kuna tatizo gani mwanafunzi wa chuo akawa na uhusiano na mwanafunzi wa A-level au O-level mbona hata kwenye mashuleni kulikuwa na mahusiano ya mapenzi.
Unafikiri kuna tatizo kubwa basi! Ndio mana serikali ikaweka kifungo Cha miaka 30 tu jela
 
No sio kupenda crush zinatokea ila hazina faida now cut maswali
Ikitokea imefika stage hiyo uwezi kukataa wanaume wote wanaokutongoza.Bro wangu ameoa mwanamke ambaye ameanza uhusiano wa kimapenzi nae tangu wapo form 3, A-level akasoma nae wakaacha chuo walisoma vyuo tofauti sasa hiv tunaongea ni Mke na Mume na Wana miaka miwili tangu afunge ndoa.
 
Thats your bro
.ur 24 man au kwanza achana na watt
 
Thats your bro
.ur 24 man au kwanza achana na watt
Sijamanisha ninapenda wasichana wa shule ila nimesema ilitokea nikampenda mwanamke huyo wa shule nikiwa first year wa chuo huo ni wakati uliopita ni vizuri kusoma mada vizuri na uielewe.
 
Kwani Kuna tatizo gani mwanafunzi wa chuo akawa na uhusiano na mwanafunzi wa A-level au O-level mbona hata kwenye mashuleni kulikuwa na mahusiano ya mapenzi.
Acha wenzio wasome, wew hujui unaweza kuharibu masomo ya wenzio. Hujawahi kusikia mapenzi na shule ni kama mlenda na chai. Eti uko hapa bila aibu unasema eti mwanafunzi wa O level sijui A level kwani kunatatizo gani. 😎
 
Ikitokea imefika stage hiyo uwezi kukataa wanaume wote wanaokutongoza.Bro wangu ameoa mwanamke ambaye ameanza uhusiano wa kimapenzi nae tangu wapo form 3, A-level akasoma nae wakaacha chuo walisoma vyuo tofauti sasa hiv tunaongea ni Mke na Mume na Wana miaka miwili tangu afunge ndoa.
Kwahiyo ndio unatuambiaje hapo kwa Mfano, au unahisi hiyo habari ya broo ako ndio Inaweza ikawa reference ukikamatwa na mtoto wa shule.😏
 
Mkuu we komaa nao tu had siku usikie nyundo ya hakim

GunFire
 
ntakuwa wa mwisho kuamini mtanzania wa miaka 18-28 anajitambua wengi akili zimetudumaa

mtoa bandiko uko sahihi .
wanao kukosoa wako sahihi .
hata mm niko sahihi pia .
maana miaka zaid ya 15+ tunakula ugali hakuna cha maana tunaweza fikiri zaid ya pumba tupu.

mtakao nipiñga pia mko sahihi, yawezekana mlikuzwa kwa ugali wa udaga,mtama,uwele ila bado akili zenu ni za ugali ugali tu.
 
Back
Top Bottom