hili ni tukio la kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hili ni tukio la kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mareche, May 22, 2011.

 1. m

  mareche JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  wapendwa wana jf napenda niwe mkweli kuna mabint wawili ambao wamenichanganya sana kwa sasa mabint hao ni mapacha mwazo nilikuwa sijui kama ni mapacha kwani wamefanana sana ilikuwa tunatabia ya kukutana kila weekand kisha tuna du kumbe ktk kipindi chote hicho nilikuwa na du na watu 2 tofauti sasa nipo njia panda nifanyaje je niendelee na wote kwani mpaka sasa hawajajua kama nimeshastukia janja yao nawakilisha
   
 2. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80
  Mareche
  Pls feel free to correct me if Im wrong, what you are telling us is through no fault of your own you ve been sleeping with two identical girls unknowingly! Na wao they know and are the ones responsible for this trickery? May I know where are your twins from.?Maana, du I am having difficulty swallowing this.................!
   
 3. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Achana nao wote!
  Hao ni zaidi ya vicheche!
  Mh! Ya kweli haya? Isijekuwa umeangalia filamu za Kanumba afu ndo unatusimlia.
   
 4. m

  mareche JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nemo nahisi wao wanajua wanachokifanya kwani huenda wana ambiana mambo yote ndo maana me binafsi ilinichikua muda sana kujua kumbe naa du namapacha
   
 5. m

  mareche JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  no best ni kitu cha kweli kma unatak kujua mahali walipo nitakujulisha
   
 6. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole kama kweli hukujua,na achana nao wote ucje zua ugomvi kati yao
   
 7. m

  mareche JF-Expert Member

  #7
  May 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  asante aisha nashukuru kw ushauri
   
 8. Catherin

  Catherin Member

  #8
  May 22, 2011
  Joined: Apr 27, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  achana nao wote kwani hautengenezi penzi la dhati hapo sana unapoteza muda wa kumpata mpenzi wa kweli na hao hawana penzi la kweli kwako kwani wasingeweza kutembea na wewe wote hao ni wapitaji 2:mod:
   
 9. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 80

  Mhm jamani "Wonders shall never cease!"...........................Basi kama ni hivyo wakalishe na kuwaeleza kwamba umegundua mchezo wao huo mchafu, na hukupendezwa nao!(assuming that's how you feel ofcourse).
   
 10. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Duuu, kama ni kweli pole sana!
  Jaribu kuwauliza kwa nini wamekufanyia huo mchezo, haipendezi.
   
 11. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Endelea tu hata ukiacha haisaidi kitu maana ulisha anza
   
 12. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mama na Mwanaaaaaa
   
 13. Mlimazunzu

  Mlimazunzu JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 420
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Shigongo @work
   
 14. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #14
  May 22, 2011
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  This is a joke. Ina maana hata simu wanatumia moja ? Au unawasiliana nao vp ?
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Hiyo inaitwa "buy one get one free". Zali hilo mkuu wee chinja tu, ushauri wa nini? Benki haikatai hela kaka.
   
 16. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Acha kumpoteza mwezako mpendwa, wakija kujuana itakuwa balaa.
   
 17. m

  mareche JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  sio joke nda maana nasema wanaambiana maana akija unakuta anatumia namba hiyo moja so mpaka kuja kubaini ni jamaa yangu ndo kanitonya kuwa unashezewa weye
   
 18. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #18
  May 22, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Asante pia mpendwa, muombe mungo akuongoze katika hilo na mlaani shetani aliyekutumbukiza ktk hilo shimo.
   
 19. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 6,301
  Likes Received: 3,041
  Trophy Points: 280
  ata we waonekana unataka kuendelea nao wote, ungekuwa una wazo tofauti na hlo ungeshachukua hatua.
   
 20. S

  Smarty JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  acha uongo mtu mzima. Ufanye mapenzi na watu wawili tofauti usigundue???
   
Loading...