Hili ndiyo Gari la mwanaume bhana!!!

Hili ndiyo Gari la mwanaume bhana!!!

Hili suala la gari ipi ni ya Kiume au la, halina maana yoyoye, kwa sababu, ununuzi wa gari hutegemea preference na satisfaction/utility anayoitaka mtu. Ni sawa na kunununa chakula unachokitaka hotelini. Huwezi kuwaambia watu eti hiki Chakula cha Kiume.
 
Mkuu ninayo jlx milango mitano manual niliingiaga mtaroni jamaa wakasema huwezi toa iyo gari.hadi winch.ila niliweka four wheel aisee ilipanda kama imesimama tokea hapo nilisema nitakufa nayo ila nikipata crusser mkonge pick up nitaiacha
Achana na hicho kidude. Cha kwangu ni kikuu kuu lakini nina mahaba nacho. Hata AC hakina lakini mashambani wananielewa kwamba safari yangu haikatizwi na barabara mbovu.
 
Hii gari hapana aisee
toyota%20probox.jpg
[emoji45] [emoji45] [emoji45] mkuu kuna gari huwa sizielewi moja wapo ni hii.then

Gaia, fun cargo, noah,
 
Imeandikwa sehemu gani kwenye hilo gari kwamba hilo Ni la mwanaume!??
Au muundaji wa hilo gari alivyokuwa anaumiza kichwa kuliunda alikwambia kuwa anaunda gari la mwanaume!??!

litakuwa lina ndevu mkuu..
 
In my experience, gari yoyote inakuwa nzuri kulingana na mfuko wako. Labda rangi ndo za kuwa makini nazo
 
Navyojua thaman ya ya nyumba inatakiwa iwe mara nne zaidi ya gari ulilonalo
 
Back
Top Bottom