Hili ndiyo Gari la mwanaume bhana!!!

Hili ndiyo Gari la mwanaume bhana!!!

31cd15199fc177de0ac7050741057ee5.jpg


Pikipiki ya mwanaume
 
Mkuu ninayo jlx milango mitano manual niliingiaga mtaroni jamaa wakasema huwezi toa iyo gari.hadi winch.ila niliweka four wheel aisee ilipanda kama imesimama tokea hapo nilisema nitakufa nayo ila nikipata crusser mkonge pick up nitaiacha
Tango pori
 
Ione hivo hivo nzuri,hio gari haina differential locks wala low/high gear ni useless tu labda kama umeipenda ilivyo kaa kichuma mboga.
 
15016209_1208542669207058_7603808051624741242_o.jpg



15016261_1208542662540392_4521970443613437495_o.jpg





N:B GARI SI YANGU WAKUU
Kawadanganye wasiokuelewa Mkuuu...Hiii gari ni yako Kabisa na mimi najua...au inafanana na yako...hatukunyang'anyi bana...Ila hongera Mkuu kwa kuwa na ndoto Nzuri....
 
ingawa nimeshindwa kuizoia hii hali, ya kuona mwanaume mkubwaaaaaaaaa alafu ana shuka kwenye vitz
 
Kuna demu alihongwaga hiyo x 6 nadhani wolper baada ya kugombana na mchizi akaenda kulichukua gari lake.

Binafsi napenda Toyota Hilux D4D, Ford ranger na Amarok
We sasa ndio mwanaume unaezijua gari za kiume achana na hizo gari za wolper na platimu
 
sema Bwana usiseme BHANA kama ilivyo kwenye heading, labda kama wewe ni ke lakini me hapendezi kusema "bhana"
 
Back
Top Bottom