Haha Duet gari ya kiume?
mtu akikupa unalichukua halafu unaliuzaMi hiyo hata bure sichukui,
napenda Toyota hardbody
au Gx
ina dushelele au na hizi nyingine zina papuchi au fafanua tuelewe na zinakaa kwa sehem gani hizo bidhaa![]()
![]()
N:B GARI SI YANGU WAKUU
hii gari au mabox???bora hata mercedes benz g wagon au discovery.![]()
![]()
N:B GARI SI YANGU WAKUU
Hahaha hii gari unanikumbusha mbali sana enzi hizo za TZC mshua alikuwa nalo sasa hivi kalijengea eti limekuwa makumbushoMy Suzuki Vitara JLX 3 doors is also a car for men. Sidhani kama unayo hata baiskeli wewe
Usiogope we sema yako Takokuu hawaji kukupekenyua!![]()
![]()
N:B GARI SI YANGU WAKUU
Mkuu ninayo jlx milango mitano manual niliingiaga mtaroni jamaa wakasema huwezi toa iyo gari.hadi winch.ila niliweka four wheel aisee ilipanda kama imesimama tokea hapo nilisema nitakufa nayo ila nikipata crusser mkonge pick up nitaiachaMy Suzuki Vitara JLX 3 doors is also a car for men. Sidhani kama unayo hata baiskeli wewe
Mmmmh mkuu hili lako ndo zuriMimi naendesha hii![emoji1][emoji116]
vw buggy...gari tamu sana kwa adventure za beachMimi naendesha hii![emoji1][emoji116]
Utakuwa muhaya wewe[emoji38][emoji4]Hahaha hii gari unanikumbusha mbali sana enzi hizo za TZC mshua alikuwa nalo sasa hivi kalijengea eti limekuwa makumbusho
Wala hata sina uhaya wowote ni jamaa tu kanikumbusha mbaliUtakuwa muhaya wewe[emoji38][emoji4]