Hiyo ndo ile ya Obama?
Weka picha tuione.Mkuu ninayo jlx milango mitano manual niliingiaga mtaroni jamaa wakasema huwezi toa iyo gari.hadi winch.ila niliweka four wheel aisee ilipanda kama imesimama tokea hapo nilisema nitakufa nayo ila nikipata crusser mkonge pick up nitaiacha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ina maana sie wenye Opel ni madem?
Mimi hata nikapata gari limetengenezwa kwa mabanzi na vitambaa kama sofa za keko still ntajiita mwanaume..![]()
![]()
N:B GARI SI YANGU WAKUU
hahahaa kumbe gari nazo zina jinsia!! kuna zenye papuchi na zenye muwa!!! ok ntanunua gari mbili za kike na moja ya kiume ili zizaliane.![]()
![]()
N:B GARI SI YANGU WAKUU
mnacheza game la nidi fo spidi
tena unakuta kidume kimeweka sambusa kabisaAu vitz nyekundu aka rangi ya kucha
hii naikubali sana
au nissan skylineGari la kiume ni subaru forrester au altezza.
Hili kama biringisha maviMimi naendesha hii![emoji1][emoji116]