Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,206
- 5,074
ARv zikisha wifi usiache kuchukuaSawa dada angu pamoja sn
Msalimie kaka wifi
ARv zikisha wifi usiache kuchukuaSawa dada angu pamoja sn
Sawa UWTARv zikisha wifi usiache kuchukua
Msalimie kaka wifi
Bawacha ile tuzo vp sasa wifi😂Sawa UWT
Baada ya Lissu kuona mna hizi akili, kaamua kuchukua chake mapema awaachie huo uchaguzi was TFF mhangaike nao. Baada ya uchaguzi anatimua zake ubelgiji. Lissu genius kweli.Tuna DPP mjinga sn, uchaguzi upi hapo umetajwa wa TFF au CHADEMA? hovyo kabisa japo baadae atafuta hakuna la maana
UWT mnafanya vizuri sn ndiyo maana mzanzibar anawakubali haswaBawacha ile tuzo vp sasa wifi😂
Lakini mumeo si tutapiga naye kura au naye atatuacha?Baada ya Lissu kuona mna hizi akili, kaamua kuchukua chake mapema awaachie huo uchaguzi was TFF mhangaike nao. Baada ya uchaguzi anatimua zake ubelgiji. Lissu genius kweli.
Bawacha mmefeli wap?UWT mnafanya vizuri sn ndiyo maana mzanzibar anawakubali haswa
Mbowe Kama vile hayupo. Kawaacha nyumbu mnahangaika mtandaoni.Lakini mumeo si tutapiga naye kura au naye atatuacha?
Mdada mwenzako Lucas Mwashamba anajiheshimu wewe sijui kwanini huna akiliBawacha mmefeli wap?
Au Kisa Mwenyekiti ni Mke mwenza wako kwa Kengeza
UWT nyie mnaanza lini kupiga kura?Mbowe Kama vile hayupo. Kawaacha nyumbu mnahangaika mtandaoni.
Kapige kura na mumewe wa mama yako wee nyumbu.
Nakuuliza wewe bado unampigania kaka yangu ? Wifi tumia dawa vizuriMdada mwenzako Lucas Mwashamba anajiheshimu wewe sijui kwanini huna akili
Lucas Mwashambwa alikuwa Dar kupokea vitenge vyenu vya uchaguzi kila UWT atapata pair 2Nakuuliza wewe bado unampigania kaka yangu ? Wifi tumia dawa vizuri
Huyu bwana ana very low IQWeka maoni Yako.
NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
Kwani magu alikinukisha vibaya sana? Alileta uasi?Inasikitisha sana
Anyway, JPM alisingiziwa mabaya mengi 😎
Hawa jamaa Wana double standard.Hapo kama wanataka kubalance mambo wampe na Mwenezi Kesi maana alitoa pia taarifa za uongo.Taarifa ya kutoa taharuki kwa kusema CDM wataleta MPOX &EBOLA.
Jwa hiyo mropokaji atishie uasi hadharani halafu jeshi la polisi likae kimya? Hapo tutakua na nchi kweli? Katika hili Mropokaji kateleza.Hili jeshi letu la Polisi sijui linaongozwa na watu wa aina gani? Sasa uhaini aliofanya Tundu Lissu uko wapi?
Kuhamasisha watu kuwa watazuia uchaguzi wa October 2025 ni uhaini? Kwani kuna uchaguzi ambao umezuiwa? Sasa huo uhaini wanautafsiri vipi? Ni kipi alichofanya? Amehamasisha mapinduzi kwenye mikitano aliyohutubia? Na huo uchaguzi usipofanyika kwa sababu nyingine itakuwa pia ni uhaini?
Hili jeshi la Polisi na ofisi ya DPP wana watendaji wa aina gani? Yani vijishtaka vya ajabu ajabu na posho za walipa kodi wanapewa kabisa.
Walaaniwe Hawa watu na kabineti Yao...Hili jeshi letu la Polisi sijui linaongozwa na watu wa aina gani? Sasa uhaini aliofanya Tundu Lissu uko wapi?
Kuhamasisha watu kuwa watazuia uchaguzi wa October 2025 ni uhaini? Kwani kuna uchaguzi ambao umezuiwa? Sasa huo uhaini wanautafsiri vipi? Ni kipi alichofanya? Amehamasisha mapinduzi kwenye mikitano aliyohutubia? Na huo uchaguzi usipofanyika kwa sababu nyingine itakuwa pia ni uhaini?
Hili jeshi la Polisi na ofisi ya DPP wana watendaji wa aina gani? Yani vijishtaka vya ajabu ajabu na posho za walipa kodi wanapewa kabisa.
Wanabodi,
Kama kawa, kila nipatapo fursa
Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola, waneibuka watu, mashirika, wanaharakati kupigia kelele kuna kesi ya uhaini, na hadi baadhi ya taasisi za kimataifa kutaka kuingilia kati mambo yetu ya ndani!, hivyo kufuatia mwandishi wa makala hizi kuwa pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea, naomba kuitumia makala ya leo, kuanza mfululizo wa makala elimishi kuelimisha umma kuhusu katiba, sheria, haki na wajibu kwa jicho la mtunga katiba.
Naomba nianze na elimu fupi kuhusu makosa mawili makubwa kuliko makosa yote kwenye katiba yetu. Makosa haya ni kosa la kuua, (murder), na kosa la uhaini, (treason), ambayo yote adhabu yake ni kifo, au "capital punishment", na kwa Tanzania adhabu hii inatekelezwa kwa kunyongwa hadi kufa, kwa nchi yetu tuna gereza moja tuu la kunyongea ni gereza la Isanga, liko Dodoma.
Uhaini ni nini? Uhaini umetajwa kwenye sura ya Saba kifungu cha 39 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, yaani penal code kinasema Kifungu cha 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua Rais, kuanzisha vita dhidi ya Jamhuri ya Muungano, kusababisha, kuwezesha, kuchochea, kushawishi, kushauri kuhusu kifo, kumlemaza, kumzuia, kufungwa kwa Rais.
Kwa mujibu wa sheria tuliofundishwa darasani, uhaini ni vitendo na sio kauli ni uchochezi!. Kwa vile mpaka sasa hakuna mashitaka yoyote ya uhaini yaliyofunguliwa katika Mahakama yoyote, nawaombeni Watanzania wenzangu tusishabikie uzushi wa uhaini, hili sio jambo la kheri hata kidogo.
Vivyo hivyo kwenye jinai ya uhaini, sio kila matamshi ya uhaini ni uhaini, ili kuwepo kwa jinai ya uhaini, lazima kuwepo kwa zile sifa kuu mbili, actus reus na mens rea ya kupanga kufanya uhaini. Kitendo cha mtu ameghafilika tuu na hoja za Club House, akaanza kuhororoja kutoa matamshi ya kupindua serikali, haimaanishi ni uhaini wa kupindua kweli serikali, lakini matamshi hayo yanaweza kuwa ni matamshi ya uchochezi hivyo kusababisha watu wapange kweli kupindua serikali, lakini matamshi tuu kama matamshi bila ya kuwepo means rea ya kupindua serikali, watu hao watakuwa wamefanya kosa la sedition na sio treason.
Wasalaam
Paskali
Asante kwa kutuletea hii, hakuna uhaini wowote hapo kwa mujibu wa sheria tulifundishwa sisi!. Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies! Pia soma Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na MatendoNB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
Uzushi na uhaini ni sawa ?Hawa jamaa Wana double standard.