Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,880
- 828,445
Hawana hakika ama hawaijui kabisaTreason wanaoijua kweli au wanaitabiri?
Hawana hakika ama hawaijui kabisaTreason wanaoijua kweli au wanaitabiri?
Unajiaibisha mkuu,hata mpumbavu akinyamaza huonekana ana Hekima!Ninazo, hapo kuna ingredients zote za criminal offence plus mens rea
Ana mawazo ya kimaskini sana!Kwani wewe na mumeo mtapata faida au hasara gani akitobolewa?
Huu ujinga muasisi wake ni dhalimu magu.Ni watu wa hovyo sana huko serikalini.
Mashitaka yote ambayo wangeweza kumpa with lesser punishment kumnyoosha tu. Wao wameenda chagua lile ambalo adhabu yake ni kifo.
Huko sasa si ndio kumtafutia Lissu international attention, kujitafutia vikwazo vya kimataifa and bad publicity.
Very stupid people
Adhabu yake huwa ni kunyongwa hadi kufa, siyo kifungo. Ni makosa mawili tu nchini kwetu ambayo yakithibitika mahakamani bila kuacha shaka adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa. Makosa haya ni murder and treason. Makosa ya uchochezi ndiyo yenye adhabu ya kifungo. Hata makosa ya ugaidi kama hayakusababisha mauaji adhabu zake ni kifungo. By intention and his actions so far Lissu has commited treason according to the penal code as quoted.Hilo kosa kubwa sana, lazima afungwe
Na ndivyo itakavyokuwa😃Wakili wa utetezi
Je kukinukisha maana yake ni nini?
Mwendesha mastaka " Kuleta fujo, vurugu na vita"
Wakili wa utetezi
Ndo kamusi ya kiswahili sanifi inavyosema?
Mwendesha mastaka
Sina uhakika
Wakili wa utetezi
Je unashughulika na kitu usicho na uhakika nacho?
Mwendesha mastaka
Kimyaaaaa
Hizi aibu tutazishuhudia kabla ya jua la utosi
Yaan nyie mtakufa kifo kibaya sanaHilo kosa kubwa sana, lazima afungwe
Hili jeshi letu la Polisi sijui linaongozwa na watu wa aina gani? Sasa uhaini aliofanya Tundu Lissu uko wapi?
Kuhamasisha watu kuwa watazuia uchaguzi wa October 2025 ni uhaini? Kwani kuna uchaguzi ambao umezuiwa? Sasa huo uhaini wanautafsiri vipi? Ni kipi alichofanya? Amehamasisha mapinduzi kwenye mikitano aliyohutubia? Na huo uchaguzi usipofanyika kwa sababu nyingine itakuwa pia ni uhaini?
Hili jeshi la Polisi na ofisi ya DPP wana watendaji wa aina gani? Yani vijishtaka vya ajabu ajabu na posho za walipa kodi wanapewa kabisa.
Ni muumini wa utawala wa sheria, kwani hivyo vifungu havipo?
Wale jamaa wanaokaaga kaunta pale.Hivi huu waraka umeandikwa na mtu aliyesomea sheria na kuhitimu au ni askari polisi aliyejikuta kwenye nafasi ya kuandika charge sheets vile anavyoona yeye inafaa? 😳![]()
Huyo Nduli hajasingiziwa chochote alisema mwenyewe atafuta upinzani hasa Chadema!! Matokeo yake kafutika yeye Chadema kaiacha kama ilivyo!!!Inasikitisha sana
Anyway, JPM alisingiziwa mabaya mengi 😎
Wanajitwisha gunia la misumari,unataraji matokeo gani hapo.Hii kesi anafungwa jela kabisa
Nafahamu nyaraka za mahakama zina viingilishi vigumu lakini vyenye grammar za kizamani, lakini hii charge sheet inaonekana kuwa shit kweli kweli. 😲Wale jamaa wanaokaaga kaunta pale.
Inasikitisha sana mkuuHuyo Nduli hajasingiziwa chochote alisema mwenyewe atafuta upinzani hasa Chadema!! Matokeo yake kafutika yeye Chadema kaiacha kama ilivyo!!!