PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Weka maoni Yako.

NB. Jamhuri inaweza kubadili, kuongeza au kurekebisha shtaka hilo kwa mujibu wa Sheria.
Ndiyo maana kesi za kijinga jinga za kubambikia watu makosa hufika mwisho kwa kutupiliwa kwa mbali!

Tangia lini uasi ukawa ni uhaini?

Kichwa cha shitaka ni UHAINI, halafu maelezo ya kesi ni dhamira ya kufanya UASI?!

'Uasi' ni 'rebellion' na si 'Uhaini' 'treason' kama walivyoframe case.

Uasi na uhaini ni mambo mawili tofauti ingawa yanataka kufanana.

Kichwa ni cha nyani, matako ni ya tumbiri.

Hakuna kesi hapo, haieleweki kashitakiwa kwa kosa gani.
 
Kukinukisha maana yake ninini?? Kufanya kitu kinuke nikosa kisheria labda tutajamba kwenye uchaguzi Sasa hapo shida ninini?
Uasi ni kwenda kinyume na jambo Sasa hapo shida ninini? Kunawatu wameasi dini zao kwahiyo wafungwe? Kwani kunamahali wamesema wataanzisha vita??
Nachojua wanamsumbua ili asiendelee na mikutano maana anahatarisha ushindi wawezi!
Kwanamna yeyote serikali na dpp wanajidhalilisha
 
Walisikia Uasi 😅😅
 
Kikubwa ni Kupunguza Speed ya No reform no election. Lakini Tz watanzania wameshaielewa
 
Mkuu kwani kuna haja ya mabunduki?
Kwa sasa laazima katiba ilindwe

Uchaguzi ni haki ya watanzania Kikatiba

Uchaguzi ni Takwa la Katiba

Anaejaribu kuzuia uchaguzi apaswi kuachwa hai narudia apaswi kuachwa hawa ni magaidi
 
Back
Top Bottom