PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

PreGE2025 Hili ndilo shtaka la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maneno yanaanza na "wanasema" ndo wanaita uhaini? kuandika tu ni changamoto
 
Inashangaza sana.Watapata mapigo toka kwa Mungu
 
Upuuzi mtupu ,misuse of resources!! Uhaini gani sasa huo? Hivi mnaujua uhaini?
 
Ni watu wa hovyo sana huko serikalini.

Mashitaka yote ambayo wangeweza kumpa with lesser punishment kumnyoosha tu. Wao wameenda chagua lile ambalo adhabu yake ni kifo.

Huko sasa si ndio kumtafutia Lissu international attention, kujitafutia vikwazo vya kimataifa and bad publicity.

Very stupid people
 
Stupid yourself, ndio unatupa ushahidi kuwa Lissu ni kibaraka, nenda kamsaidie kunyea ndoo. Lisuu ni nyau mdg sn kuleta madhara kwa nchi, na ujue hii ni nchi huru.
 
Treason wanaoijua kweli au wanaitabiri?
Mtumishi unakumbuka Shitaka la Sanibalatu na Tobia Mwarabu Dhidi ya Akina Ezra na Zerubabeli kule ng'ambo ya Yordani?

Unakumbuka ule walaka walioandika Maliwali kwenda kwa Mfalme Atashasta?

Baki hapo hapo usiondoke. Maajabu yanaenda Kuthibitika " The Manifestation of Almight God"

Tutashuhudia live bila chenga.

God is Love. Ameni
 
Back
Top Bottom