Hili ndilo limbwata la kumteka mwanaume

Mwamba028

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Messages
3,996
Points
2,000
Mwamba028

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2013
3,996 2,000
19 na 20 ilibid ziwe 1 na 2
 
Eng Mose

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2017
Messages
230
Points
500
Eng Mose

Eng Mose

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2017
230 500
Wooooii Sio kwa hizi mbaula za siku hizi.. Hao unaowapa huu ujumbe waliondoka na Mv Nyerere
 
M

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
2,749
Points
2,000
M

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
2,749 2,000
ILI KUMTEKA MUMEO FANYA HAYA

1. Muite kwa jina lake la utani, jina lile analolipenda sana.

2. Muache atumie mamlaka yake kama
kichwa cha nyumba.

3. Usimcheke akiwa ameumizwa na
jambo fulani.

4. Kaa kimya pale anapokuwa na hasira.
Unaweza ukaenda kumuomba msamaha
na kumueleza kwanini ulimkosea pale
hasira zinapokua zimemuisha.

5. Kuwa na haraka ya kuomba msamaha
pale unapokosea, sisitiza juu ya msamaha na mbusu pale anapokusamehe.

6. Ongelea mazuri yake na yeye kabla
ndugu, jamaa na marafiki hawajafanya
hivyo.

7. Waheshimu wazazi wake. 8. Msisitize kuhusu kwenda kuwasalimia wazazi wake na kuwapelekea chochote. Na afanye hvyo na kwa wazazi wako pia.

9. Msuprise kwa chakula akipendacho,
hasa kipindi kile anapokuwa na msongo
wa mawazo. Na kamwe usimcheleweshee chakula chake.

10. Usiruhusu dada wa kazi amhudumie
chakula mume wako ukiwa nyumbani.

11. Mkaribishe kwa kumkumbatia
anapotoka kwenye mihangaiko yake,Msaidie mizigo aliyokuja nayo au hata begi.

12. Tabasamu pale unapomtizama, vaa
vizuri na jipendezeshe pale mnapotoka
wote kwenda kwenye warsha mbalimbali.

13. Mpigie simu na umwambie kwamba
unampenda na umemkumbuka

14. Muamshe asubuhi na umpe romance
kiasi kwamba ifike hatua ya kuhitaji, mpe
na hata jishughulisha na wanawake
wengine siku hiyo.

15. Kamwe usithubutu kutamka kuwa
hakuridhishi na tendo la ndoa. Tafuta njia muafaka ya kufikisha ujumbe wako.

16. Mwambie ni kiasi gani una bahati
kuwa nae kama mume wako.

17. Mkumbatie tu bila sababu yoyote ile.

18. Mshukuru Mungu kwa kukupa Adamu
wako katika maisha yako.

19. Kumbuka kumuombea na kumkabidhi
mikononi mwa Mungu.

20. Tengenezeni utaratibu wa familia
nzima kumshukuru Mungu kwa pamoja
kila asubuhi na usiku kabla ya kulala.
Mungu abariki ndoa yako.

Copied from
Didas Tumaini
Jf member
Umewahi kuyatekeleza haya au unashauri tu.
 
MyheadzMyboss

MyheadzMyboss

Member
Joined
Apr 2, 2016
Messages
92
Points
150
MyheadzMyboss

MyheadzMyboss

Member
Joined Apr 2, 2016
92 150
22. Marufuku kuhoji chochote kinachomhusu mumeo, hata akikurudia asubuhi mpokee kwa mabusu motomoto, ukigundua ana kamchepuko huruhusiwi kukasirika sanasana mtie moyo kuwa unaelewa kwa nini anachepuka na umuombe radhi kwa kufuatilia maisha yake binafsi.
Niendelee?
This is real limbwata now hata kama usipofanya ayo mengine
 
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
7,364
Points
2,000
Equation x

Equation x

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2017
7,364 2,000
Atakayeyatekeleza yote hayo, amefanikiwa
 
aise

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Messages
1,778
Points
2,000
aise

aise

JF-Expert Member
Joined May 16, 2018
1,778 2,000
Mimi sitekwi kirahisi hivyo.
Ukweli mtupu

Ila haters watasema limbwata la kumteka mwanamke ni kumpa pesa
sasa kwan nyie wanawake mnataka nn zaid ya pesa??
Vingi tu
A dick
A hug
Care
Understanding
Itaendelea.....
I'd be that 'hater'
We uliyeleta hii mada unayafanya yote hayo......mie nipikie chakula kizuri tu nitadata kwako sina mbwembwe nyingi sana
 
maji ya gundu

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Messages
1,186
Points
2,000
maji ya gundu

maji ya gundu

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2018
1,186 2,000
Mimi kama mwanaume sihitaji ayo yote, mi nipe 0713 tu izo zingine mbwembwe
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
6,100
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
6,100 2,000
Chura ndio linàlo niteka
 
mkorea

mkorea

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Messages
1,894
Points
2,000
mkorea

mkorea

JF-Expert Member
Joined Aug 16, 2016
1,894 2,000
Mkuu unawajua wanaume au unawasikia?
Unaweza kufanya yote alafu tukaenda kuchepuka na mtoto wa jangwani sec. Apo ndio utajua kwanini tuna ndevu
 
Uvelia

Uvelia

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Messages
602
Points
1,000
Uvelia

Uvelia

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2018
602 1,000
Unamfanyia hivyo mwenye shukrani, hawa pasua kichwa tunapasuana tu.
 
Mshawa

Mshawa

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Messages
756
Points
225
Mshawa

Mshawa

JF-Expert Member
Joined Sep 6, 2011
756 225
Kwani kuna lingine dhaifu zaidi?
Na hilo limbwata ndo bora kuliko yotee... Lazima mume atakumiss, atawahi kurudi nyumbani, atakujali na zaidi mtaishi kwa amani sana!
 
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
1,807
Points
2,000
Abuu Dharr

Abuu Dharr

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
1,807 2,000
22. Marufuku kuhoji chochote kinachomhusu mumeo, hata akikurudia asubuhi mpokee kwa mabusu motomoto, ukigundua ana kamchepuko huruhusiwi kukasirika sanasana mtie moyo kuwa unaelewa kwa nini anachepuka na umuombe radhi kwa kufuatilia maisha yake binafsi.
Niendelee?
Hhhhhh
unataka watu watengeneze sumu ndani ya miili yaoo...!!!!
 

Forum statistics

Threads 1,335,526
Members 512,360
Posts 32,508,711
Top