Hili ndilo limbwata la kumteka mwanaume

Hili ndilo limbwata la kumteka mwanaume

Haya yanawezekana kama utaacha pochi nene nyumbani[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukiwa na taking hata uwe unanipigisha deli na kunitukana hadharani sibanduki
 
you are genius..!!
22. Marufuku kuhoji chochote kinachomhusu mumeo, hata akikurudia asubuhi mpokee kwa mabusu motomoto, ukigundua ana kamchepuko huruhusiwi kukasirika sanasana mtie moyo kuwa unaelewa kwa nini anachepuka na umuombe radhi kwa kufuatilia maisha yake binafsi.
Niendelee?
 
Na hilo limbwata ndo bora kuliko yotee... Lazima mume atakumiss, atawahi kurudi nyumbani, atakujali na zaidi mtaishi kwa amani sana!
 
Ukweli mtupu

Ila haters watasema limbwata la kumteka mwanamke ni kumpa pesa
Sio haters huo ndio ukweli,mtoa mada kaeleza limbwata la mwanaume ila limbwata la mwanamke ni
1.pesa
2.pesa
3.pesa
........
 
Nikipata mke wa kunifanyia yote hayo na huu wembamba wangu nanenepa kwa kweli maana si kwa kujaliwa huko.
 
22. Marufuku kuhoji chochote kinachomhusu mumeo, hata akikurudia asubuhi mpokee kwa mabusu motomoto, ukigundua ana kamchepuko huruhusiwi kukasirika sanasana mtie moyo kuwa unaelewa kwa nini anachepuka na umuombe radhi kwa kufuatilia maisha yake binafsi.
Niendelee?
ukiendelea nitag binamu
 
Back
Top Bottom