Hili nalo ni kundi la kutoa burudan

Hili nalo ni kundi la kutoa burudan

lakini raha jamani inasaidia kuondoa stress za mfumuko wa bei
 
sijui tunaenda wapi.....

yaani you must be a very strict parent to raise a kid
these days

Na ndiyo maana utagunduwa thamani ya wanawake wanaojiita wanawake wa kileo haiopo, unaweza kusema wanavyotumika ni sawa na paper napkins ukimaliza unatupa ,lakini nawasifu wanaume wa kibongo mwanamke kama huyo utakuta leo kesho wanajizolea na kuweka ndani .
 
Mkuu kwenye hiyo picha ya pili huoni Under 18?
Mkuu grafani.
kwanza aliyeweka picha hajaziweka kuendana na matukio, ile ya pili toka juu yenye kiti ndo ya kwanza anaitwa mbaba, shababi, mvumilivu akalie kitu ili akaliwe juu, halafu ile ya kwanza (kimatukio ya pili), jamaa kajitokeza bibie kaukalia ana katika juu- juu. hadi hapo hatujui khali ya jamaa kimwili na kihisia ikoje!! picha ya 3 ni ile ya mwisho mcheza shoo anabinuka, jamaa hapo anaonekana bado ana nguvu na anaweza kumshikilia, kwani ameshika khanga, ingawa amejawa hofu na anatetema kwa hisia, akiomba ukumbi uwe tupu ila wabaki wawili tu!! hofu na tamaa ya mwili imemjaa hapo. ile picha ya nne ( ya pili toka chini) jamaa hisia zina zidi nguvu anashindwa kushika khanga(moko), hisia zinachukua nafasi, nguvu zinamwishia, hajitambui, anamwachia show maker anakwenda chini, yeye anakuwa mtazamaji haamini nini anacho mkononi ama nini kadondosha! mcheza shoo ana mwingilia jamaa uvunguni, utaona picha ya 3, ambao ndo ya mwisho kwa tukio, jamaa mwingine aliyekuwa mtazamaji anaingiwa na tamaa na kuhisi yule aliyeketi kitini kashindwa kazi na amebaki mdomo wazi, anvuta na kutoa pumzi ndefu, hana nguvu tena.

Jamaa mwenye jeans na raba nyeupe anavamia show bila kuitwa!!! utaona ile khanga (moko) imetoka chini muda mrefu na imefunika kifua, pia kwa style ile ya "mende" jamaa aliona uani, maana showmaker kavaa semi bikin, jamaa aliyeketi hatambui nini knaendelea mwenye jeans anatamani kumbeba, MC anatoa pooo, game inaisha!!. je wewe ungefanyaje?
Hapo hamna u-18, vingine urefu au picha inakudanganya, lazima alipuke kwa mayowe, ila wote over 18 wameshikwa na utulivu muda wote wa show, hadi yule jamaa uvumilivu ulipo mshinda.
Bongo raha!!! acha watu wabanjuke, kila siku maisha bora ya jana.
sp
 
I love this show!!!!! Wabongo acheni ushamba kwani kuna kitu gani cha ajabu hapo? Acheni watu wafurahie maisha. Hayo maadili mnayoyapigania kiila siku yako wapi? KIla siku mnalalamika maadili utadhani ndo yametuletea umasikini. Acheni wengine tupunguze presha za maisha. Hawa vijana wana vipaji wanahitaji kuendelezwa zaidi.
Mmmmmmhhhhhhh aiseeee! ila tupo tofauti na huu ndo ukweli
 
Kukomesha huu mchezo wa kipuuzi ni kupata masosoliso kama kumi hivi, yakivamia ukumbi na kutoa KIBAKO cha nguvu hamna mwingine anayeweza kufanya kazi za kuacha mali nje. Ashukuru hamna wanaume hapo
 
Jamani dunia kweli imekuisha maana yote yaliyotabiliwa na yesu tayari yameisha fanyika sasa tumuombe mungu sana
 
Na ndiyo maana utagunduwa thamani ya wanawake wanaojiita wanawake wa kileo haiopo, unaweza kusema wanavyotumika ni sawa na paper napkins ukimaliza unatupa ,lakini nawasifu wanaume wa kibongo mwanamke kama huyo utakuta leo kesho wanajizolea na kuweka ndani .

Tuna ujasiri wa kipumbavu kama kupambana na Simba mikono mitupu
 
Hawa n mabinti waloshindikana majumbani..na hawakupata malezi bora
 
Mkuu grafani.
kwanza aliyeweka picha hajaziweka kuendana na matukio, ile ya pili toka juu yenye kiti ndo ya kwanza anaitwa mbaba, shababi, mvumilivu akalie kitu ili akaliwe juu, halafu ile ya kwanza (kimatukio ya pili), jamaa kajitokeza bibie kaukalia ana katika juu- juu. hadi hapo hatujui khali ya jamaa kimwili na kihisia ikoje!! picha ya 3 ni ile ya mwisho mcheza shoo anabinuka, jamaa hapo anaonekana bado ana nguvu na anaweza kumshikilia, kwani ameshika khanga, ingawa amejawa hofu na anatetema kwa hisia, akiomba ukumbi uwe tupu ila wabaki wawili tu!! hofu na tamaa ya mwili imemjaa hapo. ile picha ya nne ( ya pili toka chini) jamaa hisia zina zidi nguvu anashindwa kushika khanga(moko), hisia zinachukua nafasi, nguvu zinamwishia, hajitambui, anamwachia show maker anakwenda chini, yeye anakuwa mtazamaji haamini nini anacho mkononi ama nini kadondosha! mcheza shoo ana mwingilia jamaa uvunguni, utaona picha ya 3, ambao ndo ya mwisho kwa tukio, jamaa mwingine aliyekuwa mtazamaji anaingiwa na tamaa na kuhisi yule aliyeketi kitini kashindwa kazi na amebaki mdomo wazi, anvuta na kutoa pumzi ndefu, hana nguvu tena.

Jamaa mwenye jeans na raba nyeupe anavamia show bila kuitwa!!! utaona ile khanga (moko) imetoka chini muda mrefu na imefunika kifua, pia kwa style ile ya "mende" jamaa aliona uani, maana showmaker kavaa semi bikin, jamaa aliyeketi hatambui nini knaendelea mwenye jeans anatamani kumbeba, MC anatoa pooo, game inaisha!!. je wewe ungefanyaje?
Hapo hamna u-18, vingine urefu au picha inakudanganya, lazima alipuke kwa mayowe, ila wote over 18 wameshikwa na utulivu muda wote wa show, hadi yule jamaa uvumilivu ulipo mshinda.
Bongo raha!!! acha watu wabanjuke, kila siku maisha bora ya jana.
sp

ha ha ha...
 
Back
Top Bottom