Ubuyu wenyewe sikuhizi watu hawaununui wanaogopa kansa.Mhhh...Hizi njaa zitatuuwa...
Ni bora uuze ubuyu na maji utaishi kuliko kudhalilisha jinsi, utu na hata utaifa wako kiasi hiki.
Mkuu kwenye hiyo picha ya pili huoni Under 18?Natumaini hapo no u-18, pia ni usiku, na kisha ni burudani za watu wazima, zaidi ya yote ni ajira so kipato na uchumi unakua kupitia kodi na kipato kwa wachezaji . Hivyo Huyo aliye piga picha na kuzileta huku ndo makosa, mwenye ukumbuni anapaswa kuzuia kwa kuweka sheria ya kuzuia kupiga picha hizo na kuzeiweka hadharani. Mambo haya na zaidi ya haya yapo dunian kote anayeshangaa, sijui kwa sababu gani!! Labada iwe wenzetu hawaweki picha mtandaoni kama sisi!!
Next time kaanazo picha zako, kwani kusambaza ndo kuharibu jamii, kwa kufanya watu wajiulize ni wapi na uwafanye waende kwa ushawishi wa picha, au kama ni marketing manager wa club unatafuta wateja, basi badili njia hii siyo nzuri
SP
Uchumi wanao hawataki kuukalia
Nafkir we mwenyewe hujielewi kwan mambo kama haya yanakuja kwa kasi kwa sababu wanaohusika wanazembea wajibu wao,so solution ni kwa jamii nzima kunyanyuka na kukemea vtendo hivi kwan hata shouting za wasanii wa bongo flavor imekuwa ni fassion cku hizi na pia mwishoe wataanza kuvaa bikin!Natumaini hapo no u-18, pia ni usiku, na kisha ni burudani za watu wazima, zaidi ya yote ni ajira so kipato na uchumi unakua kupitia kodi na kipato kwa wachezaji . Hivyo Huyo aliye piga picha na kuzileta huku ndo makosa, mwenye ukumbuni anapaswa kuzuia kwa kuweka sheria ya kuzuia kupiga picha hizo na kuzeiweka hadharani. Mambo haya na zaidi ya haya yapo dunian kote anayeshangaa, sijui kwa sababu gani!! Labada iwe wenzetu hawaweki picha mtandaoni kama sisi!!
Next time kaanazo picha zako, kwani kusambaza ndo kuharibu jamii, kwa kufanya watu wajiulize ni wapi na uwafanye waende kwa ushawishi wa picha, au kama ni marketing manager wa club unatafuta wateja, basi badili njia hii siyo nzuri
SP