Sokomoko
JF-Expert Member
- Mar 29, 2008
- 1,915
- 127
Naamini wapo watakaoona nakiandama Chadema lakini ninayayazungumza humu wakiyachukulia kama changamoto yatawasaidia sana kujenga chama kikawa cha "demokrasia" na maendeleo kwa muonekano chanya. Nimefikiria sana haya maneno yanayorushwa kuwa pale Chadema kuna suala la kujuana na kubatizwa kuwa chama cha kifamilia. Nitatoa mfano hai.
1. Ndesamburo yeye ni mbunge halali wa kuchaguliwa kwa kura halali ana mwanae Owenya na mkwe wake Kihwelu.
2. Chama kinaongonzwa na mkwe wa mwasisi wake na pia ni mbunge wa kupigiwa kura.
3. Tundu Lisu amechaguliwa ila dada yake pia ni mbunge wa viti maalum hatujui pengine mbele ya safari na yeye atataka aongeze mmoja ili aende sawa na mzee ndesapesa.
4. Dr. Slaa kwa bahati mbaya hajarudi bungeni ila yupo mzazi mwenzie Bi Rose Kamili, nina uhakika Mshumbusi na yeye 2015 ataungana na Rose Kamili bungeni.
Hii ni kansa inayokiandama chama cha demokrasia na maendeleo naomba niweke wazi kuwa nina nia njema na hiki chama ndio maana nayazungumza sasa hivi singojei mpaka ifike wakati wa kampeni na kwa kufahamu kina Kitila Mkumbo na Zitto wamo humu basi watafanyia kazi.
Asanteni sana....