Hili linamaanisha nini apa udom

man lesha

Member
Nov 20, 2011
61
9
Floor za kukaa hostel ni ground floor na first floor uku coed, inamanisha ppl wamepungua sana au?
 
Ebu eleza vizuri maaana haueleweki floor za kukaa hostel zinahusiana vipi na watu kupungua? ebu tiririkaaaaa!!!
 
Mbona unakua mgum wa kuelewa nn ambacho huelewi apo, acha uzuzu km huna cha kuchangia kaa kmya.

Haya bwana mwanafunzi wa chuo unaulizwa swali unajibu bla bla tu,sio wote tumepitia Udom,floor za kukaa hostel zinahusiana vipi na watu kupungua? kwani wanafunzi wakiongezeka floor nazo zinaongezeka zinakua nne au tano?
 
we unaulizia hostel ulisoma day nn!!!!manake watu kama n nyie kifika chuo viherehere sa tu!!:A S 465:
 
Nadhani alitaka kusema hostel walizopangiwa wanafunzi wanakaa ground flow na floor ya kwanza, kuanzia ya pili na kuendelea hazina watu waliopangiwa...
Nadhani itakuwa wamefanya hivyo kwa kuwa vyumba ni vingi kuliko wanafunzi, au mwaka wa pili na wa tatu bado hawajaripoti, wakija watakaa sehemu hz.
 
wewe mwenyewe haujui kama ni njuka? haujui kuwa hapo mpo first year tu,,sasa mtapangwaje kwenye floor zote na wakati mpo first year kwa sasa? think critically
 
Floor za kukaa hostel ni ground floor na first floor uku coed, inamanisha ppl wamepungua sana au?

subiriuone hilo shazi likija, wamewaweka hivyo kwa sababu watakaokuja watakaa floor ya 3 na nne. hata hivyo siku hisi watu ni wachache siku hizi hivyo kwa baadhi ya mablock yatabaki hivyo
 
Hayawezi jaa ma block yote,kwani we ulikua unataka juu ili ukipiga sim home useme unalala ghorofani? Bado upo chuo miaka 3 utapata huko unapopataka
 
Back
Top Bottom