Hili likikutokea ufanye nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili likikutokea ufanye nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mnyampaa, Jul 12, 2012.

 1. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huu ni mkasa wa kweli umemtokea ndugu yangu

  Nilikutana na binti mmoja ambaye alikuwa akiishi kwa shemeji yake (mume wa dada yake) ambaye alikuwa rafiki yangu wa karibu sana. Nikampenda sana binti huyu na tukawa na uhusiano wa karibu kwa muda mrefu. Baada ya kuona tabia njema ya binti huyu niliamua kuweka kitu ndani (kumuoa) na nikalipa mahari nyumbani kwao na tukaanza maisha. Baada ya mwaka mmoja mke wangu akajifungua salama mtoto wa kiume. Kuzaliwa mtoto huyu ilikuwa mwanzo wa machungu ya maisha kwangu kwani mtoto alikuwa mweupee wakati mimi na mke wangu ni weusi kama mpoki. Sikuwa na wasiwasi sana kwani nimesoma biology kidogo, nikajua ni rangi ya bibi mzaa babu hiyo. Kadiri mtoto alivyozidi kukua alianza kufanana kwa kila kitu na yule rafiki yangu ambaye ni shemeji ya mke wangu. Mke wangu alikuwa akinifariji kwa kauli za kizamani eti mtoto wetu anafanana na mtoto wa shemeji yake kwasababu wakati mjamzito alikuwa anapenda kukaa naye. Mwenzenu sina raha kabisa kwa sababu mtoto ameota meno na mwanya unaoshabihiana na wa huyu rafiki yangu na kwetu hatuna mwenye mwanya wala ndugu za mke wangu hakuna kitu mwanya. Naombeni ushauri nimechanganyikiwa!
   
 2. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Mwambie kitanda hakizai haram shekhe, hata mimi wa kwangu katoka mweupe kama mzungu lakini nampenda kwa moyo wote lol
   
 3. C

  CAY JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 501
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Huyo mtoto wa shemeji si anafanana na dada mtu jamani!Yakiota meno ya utu uzima huo mwanya utapotea!
   
 4. NAFIKA

  NAFIKA Senior Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kama ana uwezo akapime DNA!!
   
 5. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona kama kutetea Azimio la Arusha vile lazima ujichizishe, vinginevyo kama ulivyoshauri
   
 6. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu na shemejiye hawafanani Mkuu, yaani katoto kakicheka kana dimpoz kama za mshkaji hapana, ndugu yangu kaliwa
   
 7. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Afadhali!
   
 8. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh! Na wewe mkuu au unanifariji? Unavumiliaje? Siku 365 uko naye kitandani usiku kucha halafu jamaa anakuzalishia....
   
 9. cedrickngowi

  cedrickngowi Senior Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Oh man!ni kweli unataka ushauri juu ya hili?just divorce her.or have a DNA test though it may lead to your heart attack.Most important,LISTEN TO WHAT UR HEART TELLS U TO DO.
   
 10. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  DNA ndo solution pekee..
   
 11. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Napita tu hapa wakuu
   
 12. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  akipima DNA majibu yakija mtoto si wake je? Ukiona manyoya ujue kashaliwa...Tupa kule mkuu
   
 13. platozoom

  platozoom JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 7,313
  Likes Received: 2,271
  Trophy Points: 280
  Hii imenichekesha sana...duh uamuzi wa mtu uko akilini mwake na si moyoni mwake
   
 14. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Hii kitu ni nzito.Wakati mwingine inabidi mtu ukubali kudanganywa ili kujipunguzia stress.Hiyo imeishatokea, sikubaliani na wanaosema apime DNA, sababu hii inayo itaongeza matatizo.Mwambie jamaa huo ndo ukubwa.Ila huyo shemeji yake ni hatari sana maana amewachanganya mtu na dada yake yake.Yangu ni hayo tu
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Hana lolote anakudanganya tu huyo. Ukweli ni kuwa huyo mkeo alikuwa anamchukia rafiki yako ndo maana akazaa wa kufanana nae. Kibaiolojia inakubalika kabisa!
   
 16. phina

  phina JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  huyo mtoto wako tu!as long as he was born under your roof it is your responsibility to care for the baby.hayo mambo ya DNA sijui waachie wenyewe.
  ukikuta si wako then what??utamuacha na kuoa mwingie??then what??una uhakika gani kwamba huyo mwingine hatafanya yale yale?? ulipenda boga..ua lake tunza!
   
 17. phina

  phina JF-Expert Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 414
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  hahaahahah..now thats a fun fact!mmmh..haya bana
   
 18. felinda

  felinda JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 23, 2012
  Messages: 351
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  DNA ndo solution bila hivyo utoishi kwa amani.
   
 19. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #19
  Jul 13, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  King'ast ar u serious? Yaani unataka kusema ukimchukia mtu ndo sawa na kuadopt genes zake. Hii si ile aloimba RIP mr ebbo. Natamani nikuone
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Jul 13, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Kwani hao majibu ya DNA ni wajinga wakwambie mtoto siyo wako waongeze watoto wa mitaani ..........
   
Loading...