Hili laweza kuwa vazi la taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili laweza kuwa vazi la taifa

Discussion in 'Jamii Photos' started by KELVIN GASPER, Mar 1, 2012.

 1. KELVIN GASPER

  KELVIN GASPER JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 962
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  JK katika mkutano wa wawekezaji wa madini,mafuta nk.
  VAZI LA TAIFA.jpg
   
 2. D

  DOMA JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 946
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kakojoe ulale
   
 3. tembeleh2

  tembeleh2 JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 768
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  vazi la taifa sio bendera ya taifa.hiyo ni bendera ya taifa. Angalia wa nigeria na waghana wanavyovaa. Kuna bendera kwenye mavazi yao. VAZI LETU LATAIFA NI KHANGA. Lakini hii mijitu inapoteza muda bure kutafuta vazi lataifa.Huu ni umasikini wa akili.
   
 4. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Kwa raha zake ...
   
 5. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hivi nchi zote zina matatizo ya kifikra kama tz au yetu yamezidi?
   
 6. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hujakosea aisee!
  Hili ndilo swali la msingi.
   
 7. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mbona kama unatulazimisha tuvae khanga kwa vile tu kabila lenu hamjui nguo zingine. Kwa kifupi ni kwamba Tanzania ina makabila 126 na kila moja lina mipango yake. Suala la wanaume kuvaa khanga acha liendelee huko kwenu huku tunahitaji MAENDELEO YA TAIFA NA SIO MAVAZI.

  Utamaduni haupigiwi kura bana
   
 8. Primitive

  Primitive JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 7, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Si lazima kuiga Nigeria, Ghana au nchi nyingine kwenye Vazi la Taifa!! tuweza kuweka rangi za benadera ya Taifa kama tunaona inafaa/inapendeza!!
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Mjomba ungeiweka kama hii ya hapa chini ingesaundi bora, maana inaonesha Mwanaume na Mwana-Asha Kikwete!

  kikwete and mwanaasha.jpg
   
 10. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Zao la shule za kata taabu kweli kweli.

   
 11. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #11
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Huyu dada aliyevaa sare na mkulu ndio nani?

  [​IMG]
   
 12. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #12
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Duh...hizo SALT and PEPPER za nini?

  [​IMG]
   
 13. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #13
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Hii nchi taabu sana........tumeletewa mjadala mpya wa kutuondolea concentration on important issues ambazo nyingi ni setbacks

  Haya kwa mfano ndo tumelipata hilo vazi then????????
   
 14. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #14
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,892
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  sasa mbona lina rangi nyeusi, au nchi iko msibani inaomboleza!?

  Hivu Mh. Ngeleja akiwaga na JK kama hivi huwa anawaza nini kati ya haya?? ...."jk amenibeba aisee" au "jk alitambua uwezo wangu na kunipa wizara nyeti kama hii"
   
 15. shizukan

  shizukan JF-Expert Member

  #15
  Mar 1, 2012
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kuchekacheka huku ndio kunamsababisha Bi. Kiroboto kusahau shida za wanawake wenzake
   
 16. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #16
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Kuna mambo mengi ya muhimu ya kufikiria kuliko kupoteza muda kufikiria vazi la Taifa wakati hata hivyo viwanda vya kutengeneza hizo nguo havina umeme!!Hii ni mbinu ya Nchimbi kutaka kupata upenyo wa kutuibia fedha azipeleke kwenye kampeni yake ya kutaka eti nae agombee urais 2015!!
   
 17. B

  Baba Collins JF-Expert Member

  #17
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 498
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Watu wengi wanashindwa kutofautitsha kati ya vazi la taifa na sare ya taifa,kama kila mtu atavaa shati kama la JK hiyo itakuwa sare.
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Mar 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Watanzania, eti linaafutwa vazi la taifa, vazi la taifa ni kipande cha ngozi kuzuia tupu na juu wazi. Hilo ndio la enzi na enzi, ukitoka hapo kanzu na kofia kwa wanaume, khanga mbili kwa wanawake.

  Kanzu na kofia, kwanza lina heshima, linavaliwa na wote, wakristo na waislaam na khanga ni hivyo hivyo. Nini zaidi?
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  Mar 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280

  Mahalu alidai kuwa katika mazungumzo hayo, Kikwete alimuuliza mama huyo, "Hivi ni kwanini kunakuwa na mikataba miwili? na mama huyo alimjibu kuwa hiyo ni kawaida kwa Italia ukitaka kununua jengo kwa bei nafuu.

  Profesa Mahalu aliendelea kudai kuwa baada ya kupewa jibu hilo, Kikwete hakuzungumza tena zaidi ya kucheka na kwamba mwenye jengo alimkumbusha kuhusu malipo ya awali ya Dola za Marekani milioni moja ambapo aliafiki na kuahidi kuwa zingelipwa kabla ya mwisho wa mwaka.
   
 20. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #20
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  Una uhakika gani kwamba vazi la taifa ni kanga?
   
Loading...