Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,367
hahahahahaaaa!!........Mahalu alidai kuwa katika mazungumzo hayo, Kikwete alimuuliza mama huyo, "Hivi ni kwanini kunakuwa na mikataba miwili? na mama huyo alimjibu kuwa hiyo ni kawaida kwa Italia ukitaka kununua jengo kwa bei nafuu.
Profesa Mahalu aliendelea kudai kuwa baada ya kupewa jibu hilo, Kikwete hakuzungumza tena zaidi ya kucheka na kwamba mwenye jengo alimkumbusha kuhusu malipo ya awali ya Dola za Marekani milioni moja ambapo aliafiki na kuahidi kuwa zingelipwa kabla ya mwisho wa mwaka.
Lakini akiambiwa kama mnataka msaada inameni.....ananuna!!!!