Mnatuchanganya sasa, kwa hiyo siku ambazo si eid, nani anaruhusiwa kuchinja? Yeyote au?Nani kakudanganya kuwa kuchinja ni ibada kwa waislamu? Toa ushahidi. Kwa taarifa yako hakuna uhusiano wa ibada na kuchinja kwa sababu hakuna sehemu yoyote katika qurani inayoamrisha ibada ya kuchinja. Pengine watu wanachanganya kitendo cha kuchinja wakati wa Idd el Hajj na kuchinja katika siku zingine. Kuchinja huwa ni ibada kwa siku hii tu na tena imeamrishwa kwa kila mtu mzima mwenye uwezo na siyo watu maalum. Kwa hiyo ni upotoshaji wenye nia ovu kudai kuwa kuchinja ni ibada kwa waislam.
Mnatuchanganya sasa, kwa hiyo siku ambazo si eid, nani anaruhusiwa kuchinja? Yeyote au?
Tatizo siyo waislam kuchinja ndugu yangu, bali kwao ni ibada sasa wanatulisha vitu vilivyofanyiwa ibada tofauti na misingi ya imani yetu. Hapo ndipo tumepata utata kwamba kumbe kulikuwa na ibada nyuma ya kuchinja huko.
Me sina shida na habari za kuchinja, nachinja mwenyewe kuku nyumbani kwangu, na nikifikia hatua ya kuchinja mbuzi na ng'ombe nitafanya hivyo, muislamu akija kwangu akiuliza nani kachinja nitajibu kuwa ni mm, kama hatokula, faida kwangu. Sioni sababu ya kupigizana kelele kwa suala ya kuchinja nyama, tuna mambo mengi ya msingi ambayo tungeliweza kujadili na kuyatolea ufafanuzi kwa manufaaa ya taifa letu na kizazi kujacho. Shame on all of us!!
Ibada gani kusema alahuu wakbaru maana yake mungu mkubwa kwani wakristo wanavyo chinja usemaje?tusiwe tuna tafuta sababu za kukosana.miaka nenda rudi waislamu ndio wachinjaji hii mambo ya ccm kutugawa kusema cdm ni chama cha wakristo matokeo yake ndio haya cdm hawataki kuchinjiwa na ccm ambao ndio wanajidai waislamu safi.
Tatizo siyo waislam kuchinja ndugu yangu, bali kwao ni ibada sasa wanatulisha vitu vilivyofanyiwa ibada tofauti na misingi ya imani yetu. Hapo ndipo tumepata utata kwamba kumbe kulikuwa na ibada nyuma ya kuchinja huko.
Huu ni ukuwaji wa uchochezi wa kidini Tz.. sijui tunaenda wapi... ila kwa upande wangu sioni shida kuchinjiwa na mwisilamu..
kweli we chizi hadi hii umepeleka katika itikadi ya vyama! Staili hii hatujengi kitu hapa
labda we sio mkristo safi?
Jibu swali, kuchinja kwa waislamu ni ibada au siyo ibada? Maana ugomvi upo hapo tu...Huna haja ya kuchanganyikiwa. Issue hapa ni ukweli kwamba kuchinja sio ibada ya kiislamu. Bali ni utaratibu wa kijamii kuthaminiana na kuheshimiana. Kwamba wakati mkristo hazuiwi kula mnyama aliyechinjwa na mtu yeyote, kwa wai
slam ni kinyume chake.
Ndivyo ilivyosemwa kwenye upatanishiHee kuchinja imekuwa ibada tena, hii mpya kwangu ijapokuwa ni mwislamu!